DOKEZO TRA mulikeni hawa Wachina, wanahujumu uchumi wetu. Hawalipi kodi ipasavyo

DOKEZO TRA mulikeni hawa Wachina, wanahujumu uchumi wetu. Hawalipi kodi ipasavyo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Binafsi sizipendi hizi mashine kabisa,Nashauri hali ya ukadiriaji irudishwe kama awali,
Duka lipo kariakoo kwa mwaka milioni 10,utalipa kwa awamu 4,full stop,daka lako linapewa namba maalumu,pamoja a/c ya kulipia.then Tra wanakuwa wanamonitor tu kwa Gps.,hili liambatane na adhabu kali kupitiliza ikiwa ni pamoja na kufilisi.

Ni kwa kuwa huweki kumbukumbu sahihi. Ila EFD kwa mtu mjanja inamuwezesha kupunguza kodi. Tatizo kubwa nchi hii haina wahasibu wa kutosha ningekushauri utafute mmoja wao (siongelei watu wenye vyeti vinavyowatambulisha kusoma uhasibu - hao ni wengi sana - nawakusudia competent ones).
 
Salamu wakuu:
Hili nimekutana nalo jana, japo imekuwa sio ngeni ila hii niliipokea kwa uchungu mkubwa sana (sijui kwa vile ni Wachina).... kama mzalendo ikabidi ‘nipachimbe’ sana.

Wanauza bidhaa kwa kile wanachoita ‘bei ya kiwandani’ hivyo mteja unategemea unafuu wa bei, na kwa kuzingatia hilo nilifika hadi kiwandani kupata ofa hii (godoro).... ila masharti niliyopewa ni kwamba stakabadhi (risiti) itaandikwa NUSU ya kiasi ninayolipia mzigo.

Nilipoonesha kutoafiki kwanza ‘wahudumu’ wakanishangaa kwamba mi wa wapi sijui utaratibu huo ni wa siku zote, na kauli za vitisho kuwa wataacha kuuzia ‘watumiaji’ ili kuepusha usumbufu na ujuaji badala yake wauzie wafanyabiashara tu ambao wao wanaelewa.... nami kwa vile sikutaka kukosa kilichonipeleka ikabidi kukubaliana na masharti nishiriki kwenye hujuma.

Mamlaka zina mkono mrefu, mnajua yanayoendelea kukwepa VAT za EFD.... huu ni mfano tu ila picha ni kubwa sana TRA kuweni macho.
Sasa wewe ulietaka bei pungufu ndio umefanya hujuma, kwanini utake bei pubgufu?
 
Nonsense , nchi hii hamna faida ya kulipa kodi , it doesn't make any difference . Mijitu inakwapua trillions haiwajibishwi halafu inapambana kupata Mia mbili Mia mbili za wachina . ****
1.5 trillion to be specific
 
Soma vizuri mkuu wangu, nilitishiwa kuwa nikileta ujuaji bora niache kununua nikanunue dukani.... nikawaza kuhusu punguzo na nimechapa mwendo hadi kiwandani nikaamua kuihujumu serikali.
Hongera kwa kutoa taarifa ya hujuma,ila kama ni jehanamu unakwenda kwani dhambi umeifanya huku ukinung'unika...
 
Huwa Kuna vitu viwil Kuna Bei bila EFD machine na Bei ukipata risit ya EFD mshine na Mara nying huo mzigo wa kod tuna lipa wannunuaji na huo ndio ukweli uliopo

Mwez wa nne nilikuwa kariakoo Kuna mhind akataka Leta zake nikamwambia ukitaka nikufilisi badilisha bei mbona ile ya awali akaiyandika katika EFD bila tabu
 
Nimesikia siku hizi kuna wachina dar wanafuga kuku wa nyama na wanakuwa tayari wiki tatu tu tena wanasambaza wenyewe kwenye masoko ila watu wasifahamu.

Sijui wanalisha kitu gani hata ndani ya wiki tatu kuku anakuwa na kilo mbili.
 
Mkuu mbona risiti tarehe inaonyesha ni 28/07 au tukio lako ni tofauti na hilo

Activation Date ni tarehe ambayo mashine imeanza kutumika, ndio hiyo 2017.... kumbe hata wahudumu walikuwa sahihi kunishangaa kwanini nawachimbisha.

cc: msondomba
 
Attachments

  • IMG_3567.JPG
    IMG_3567.JPG
    86.1 KB · Views: 1
Salamu wakuu:
Hili nimekutana nalo jana, japo imekuwa sio ngeni ila hii niliipokea kwa uchungu mkubwa sana (sijui kwa vile ni Wachina).... kama mzalendo ikabidi ‘nipachimbe’ sana.

Wanauza bidhaa kwa kile wanachoita ‘bei ya kiwandani’ hivyo mteja unategemea unafuu wa bei, na kwa kuzingatia hilo nilifika hadi kiwandani kupata ofa hii (godoro).... ila masharti niliyopewa ni kwamba stakabadhi (risiti) itaandikwa NUSU ya kiasi ninayolipia mzigo.

Nilipoonesha kutoafiki kwanza ‘wahudumu’ wakanishangaa kwamba mi wa wapi sijui utaratibu huo ni wa siku zote, na kauli za vitisho kuwa wataacha kuuzia ‘watumiaji’ ili kuepusha usumbufu na ujuaji badala yake wauzie wafanyabiashara tu ambao wao wanaelewa.... nami kwa vile sikutaka kukosa kilichonipeleka ikabidi kukubaliana na masharti nishiriki kwenye hujuma.

Mamlaka zina mkono mrefu, mnajua yanayoendelea kukwepa VAT za EFD.... huu ni mfano tu ila picha ni kubwa sana TRA kuweni macho.

Huu unaa
 
Back
Top Bottom