G General Stalin JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 652 Reaction score 501 Oct 15, 2019 #101 NEVADA said: Nonsense , nchi hii hamna faida ya kulipa kodi , it doesn't make any difference . Mijitu inakwapua trillions haiwajibishwi halafu inapambana kupata Mia mbili Mia mbili za wachina . **** Click to expand... Ktk awamu ya tano nani alikwapua trillions? au unaongea NB. Wenye mamlaka ongezeni faini kidogo kwa hawa wafanyabiashara wakwepa kodi
NEVADA said: Nonsense , nchi hii hamna faida ya kulipa kodi , it doesn't make any difference . Mijitu inakwapua trillions haiwajibishwi halafu inapambana kupata Mia mbili Mia mbili za wachina . **** Click to expand... Ktk awamu ya tano nani alikwapua trillions? au unaongea NB. Wenye mamlaka ongezeni faini kidogo kwa hawa wafanyabiashara wakwepa kodi