Halafu anakuja kuuitia TRA huku JF utafikiri ndipo zilipo ofisi zakeInaelekea umesikiliza alichoongea Lissu lakini hujakielewa!
Mheshimiwa Tundu Lissu alivyokuwa Mbeya aliituhumu TRA kwa kufanya unyang'ani wa kutumia silaha, aliueleza umma kuwa kuna wafanyabiashara walishikiwa bastola ili wawape hela kutoka kwenye account zao. Siamini haya yanaweza fanyika katika uongozi wa Dr Mhede huku ni kumchafua. TRA sio chama cha siasa wala jumuia ya CCM, kuanza kuishutumu hadharani sio haki. Na kama kuna shutuma dhidi yao kuna utaratibu wa kushughulikia rufaa za kodi Lissu kama wakili alipaswa kuzifuata na haki ikatendeka....
Mimi nina ushahidi kuna muwekezaji mzawa kanyang'anywa kiwanda chake na serikali kwa kutishiwa tena akaambiwa watamfanyia kama MO. Kwa kuogopa ikabidi asaini document ya makabidhiano na alikuwa anapewa vitisho na waziri mmoja tena mwanamke! Aibu kubwa kwa huu utawala!
Kwahiyo aliwakabidhi TRA?Mimi nina ushahidi kuna muwekezaji mzawa kanyang'anywa kiwanda chake na serikali kwa kutishiwa tena akaambiwa watamfanyia kama MO. Kwa kuogopa ikabidi asaini document ya makabidhiano na alikuwa anapewa vitisho na waziri mmoja tena mwanamke! Aibu kubwa kwa huu utawala!
DPP anareport kwa kamishna wa TRA? Kwanini asimshutumu DPP? Au anaogopa faili lake kisutu lisijefufuliwa?Labda nikusaidie mara ngapi wafanya biashara walipewa kesi za kukwepa kodi na kuhujumu uchumi wakapelekwa mahakamani na wakati hata hukumu bado DPP anawaambia lipeni labda 500M tukuachie huo ni moja ya mfano mdogo anaongelea Mh Lissu.
Kwani TRA hawashiki akaunti za watu?Kwahiyo aliwakabidhi TRA?