- Thread starter
- #21
Kama ulikwepa kodiKwani TRA hawashiki akaunti za watu?
Kama ulikwepa kodiKwani TRA hawashiki akaunti za watu?
Mkicheza mziki wa lissu mtapoteana na kuna watu wanaandaa sherehe ya kifo cha ccm bonge ya partyMheshimiwa Tundu Lissu alivyokuwa Mbeya aliituhumu TRA kwa kufanya unyang'ani wa kutumia silaha, aliueleza umma kuwa kuna wafanyabiashara walishikiwa bastola ili wawape hela kutoka kwenye account zao. Siamini haya yanaweza fanyika katika uongozi wa Dr Mhede huku ni kumchafua. TRA sio chama cha siasa wala jumuia ya CCM, kuanza kuishutumu hadharani sio haki. Na kama kuna shutuma dhidi yao kuna utaratibu wa kushughulikia rufaa za kodi Lissu kama wakili alipaswa kuzifuata na haki ikatendeka
Lissu hajawa mgombea Urais kwa mujibu wa sheria za uchaguzi wala kampeni hazijaanza kwa mujibu wa sheria, anapozungumza anazungumza kama raia wakawaida na anapaswa kuwajibika yeye kama yeye kwa matamshi yake mwenyewe. Anaposema mtu akiinyima hela CCM TRA wanaitwa kumfirisi hizi ni tuhuma nzito dhidi ya TRA na hazipaswi kufumbiwa macho.
Kama ni utendaji kazi wa TRA kwa awamu hii ya Dkt. Mhede wamekuwa waungwana na watenda haki, wafanyabiashara wako huru kujieleza na maamuzi yanafanyika kwa haki, hakuna tena habari ya kufungiana maduka wala kusaka wafanyabiashara na mgambo wa jiji, sasa hizi tuhuma anazotoa amepata kutoka wapi? Lissu hakuwepo nchini wakati Dr Mhede akikabidhiwa TRA ni vyema akachukua muda wa kufuatilia utendaji wake.
MKUU MIMI BINAFSI NIMEKUELEWA SANA LAKINI SAFARI HII SISI WANA CCM TUMEAMUA KUMUACHA AROPOKE ATAKAVYO MPAKA MWISHO WA UCHAGUZI ILA SIKU YA KUTANGAZWA MATOKEO NA SIKU YA KUAPISHWA KWAJPM ATAKUWA AMEKAA HIVI HUYO LISSUMheshimiwa Tundu Lissu alivyokuwa Mbeya aliituhumu TRA kwa kufanya unyang'ani wa kutumia silaha, aliueleza umma kuwa kuna wafanyabiashara walishikiwa bastola ili wawape hela kutoka kwenye account zao. Siamini haya yanaweza fanyika katika uongozi wa Dr Mhede huku ni kumchafua. TRA sio chama cha siasa wala jumuia ya CCM, kuanza kuishutumu hadharani sio haki. Na kama kuna shutuma dhidi yao kuna utaratibu wa kushughulikia rufaa za kodi Lissu kama wakili alipaswa kuzifuata na haki ikatendeka
Lissu hajawa mgombea Urais kwa mujibu wa sheria za uchaguzi wala kampeni hazijaanza kwa mujibu wa sheria, anapozungumza anazungumza kama raia wakawaida na anapaswa kuwajibika yeye kama yeye kwa matamshi yake mwenyewe. Anaposema mtu akiinyima hela CCM TRA wanaitwa kumfirisi hizi ni tuhuma nzito dhidi ya TRA na hazipaswi kufumbiwa macho.
Kama ni utendaji kazi wa TRA kwa awamu hii ya Dkt. Mhede wamekuwa waungwana na watenda haki, wafanyabiashara wako huru kujieleza na maamuzi yanafanyika kwa haki, hakuna tena habari ya kufungiana maduka wala kusaka wafanyabiashara na mgambo wa jiji, sasa hizi tuhuma anazotoa amepata kutoka wapi? Lissu hakuwepo nchini wakati Dr Mhede akikabidhiwa TRA ni vyema akachukua muda wa kufuatilia utendaji wake.
Tunamwandaa kisaikolojia asije akayakataa matokeoMKUU MIMI BINAFSI NIMEKUELEWA SANA LAKINI SAFARI HII SISI WANA CCM TUMEAMUA KUMUACHA AROPOKE ATAKAVYO MPAKA MWISHO WA UCHAGUZI ILA SIKU YA KUTANGAZWA MATOKEO NA SIKU YA KUAPISHWA KWAJPM ATAKUWA AMEKAA HIVI HUYO LISSU
Usiku ulikuwa unamiliki night club?Nikweli kabixa huku aruxha kunakipindi tra wanapita uxiku na maaxkari wakiwa na bunduki wanadai kodi tangu lini ukaona kodi inadaiwa kwa bunduki?
Kweli wewe CCM! Tafuta clip usikilize! Extortionaliituhumu TRA kwa kufanya unyang'ani wa kutumia silaha
Labda nikusaidie mara ngapi wafanya biashara walipewa kesi za kukwepa kodi na kuhujumu uchumi wakapelekwa mahakamani na wakati hata hukumu bado DPP anawaambia lipeni labda 500M tukuachie huo ni moja ya mfano mdogo anaongelea Mh Lissu.
Unachotakiwa kufahamu ni kuwa TRA na TAKUKURU hutumila kama fimbo ya kuwaadhibia wote ambao ama wanaikosoa Serikali au Rais.Mheshimiwa Tundu Lissu alivyokuwa Mbeya aliituhumu TRA kwa kufanya unyang'ani wa kutumia silaha, aliueleza umma kuwa kuna wafanyabiashara walishikiwa bastola ili wawape hela kutoka kwenye account zao. Siamini haya yanaweza fanyika katika uongozi wa Dr Mhede huku ni kumchafua. TRA sio chama cha siasa wala jumuia ya CCM, kuanza kuishutumu hadharani sio haki. Na kama kuna shutuma dhidi yao kuna utaratibu wa kushughulikia rufaa za kodi Lissu kama wakili alipaswa kuzifuata na haki ikatendeka
Lissu hajawa mgombea Urais kwa mujibu wa sheria za uchaguzi wala kampeni hazijaanza kwa mujibu wa sheria, anapozungumza anazungumza kama raia wakawaida na anapaswa kuwajibika yeye kama yeye kwa matamshi yake mwenyewe. Anaposema mtu akiinyima hela CCM TRA wanaitwa kumfirisi hizi ni tuhuma nzito dhidi ya TRA na hazipaswi kufumbiwa macho.
Kama ni utendaji kazi wa TRA kwa awamu hii ya Dkt. Mhede wamekuwa waungwana na watenda haki, wafanyabiashara wako huru kujieleza na maamuzi yanafanyika kwa haki, hakuna tena habari ya kufungiana maduka wala kusaka wafanyabiashara na mgambo wa jiji, sasa hizi tuhuma anazotoa amepata kutoka wapi? Lissu hakuwepo nchini wakati Dr Mhede akikabidhiwa TRA ni vyema akachukua muda wa kufuatilia utendaji wake.
Huyo unaemwita kijana safi mwambie arudishe haki ya huyu mfanyabiasharaMhede ni kijana safi sana ana utulivu na anajituma
.lakini pia msabato safi kabisa mm naamini hawezi kufanya Hila hizo