TRA: Pikipiki (Bodaboda) kuanza kulipa Kodi ya Tsh. 65,000/- kwa mwaka

TRA: Pikipiki (Bodaboda) kuanza kulipa Kodi ya Tsh. 65,000/- kwa mwaka

Maeneo mengi Noah hazisajiliwi tena kubeba abiria kutokana na katazo la 2015 au 2016 ila zinabeba tu kama magari binafsi na kuikosesha serikali mapato.

Serikali iamie either kuziondoa barabarani au zisajiliwe zilipe kodi kama Hiace vile.
 
Mbona naona kama wanawadharau, japo wangewafanyia 200 kwa siku. ingekuwa ni 73,000 tu.

Kidogo sana hizo.
 
Bodaboda mmesikia hii? Sasa rasmi mtaanza kulipa Kodi. Hapa Serikali mmechemka na mnawaonea Bodaboda, maana kupata 20,000 kwa siku ni kazi kubwa ila Nchi itajengwa na Watanzania wote.

----
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa katika mabadiliko ya Sheria za kodi mwaka 2023, serikali imeweka kodi ya mapato kwa wasafirishaji wa abiria kwa kutumia pikipiki zenye magurudumu mawili (Bodaboda) ambapo watatakiwa kulipa kiasi cha Sh. 65,000 kwa Mwaka.

Hayo yamesemwa jana na Afisa mkuu wa usimamizi wa kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Hamad Mterry, wakati akiwasilisha mada ya mabadiliko ya sheria mbalimbali za kodi kwa wafanyabiashara wa Mkoa wa Simiyu.

Mterry amesema kuwa hiyo ni moja ya sheria ya kodi ambayo ni mpya na imewagusa Bodaboda, ambapo watatakiwa kuichagia serikali kiasi cha Sh. 65,000 kwa mwaka, kuanzia mwaka huu wa fedha ambao tayari umeanza tangu Julai Mosi, 2023.

Afisa Mawasiliano na elimu kwa umma kutoka (TRA) Mkoa wa Simiyu, Benjamin John amesema kuwa Bodaboda anaweza kulipa kodi hiyo kwa awamu nne ndani ya mwaka, ambapo kila awamu atatakiwa kulipa Sh. 16,250.

Hata hivyo wafanyabiashara za kusafirisha abiria kwa kutumia pikipiki (Bodaboda) wanaona kodi hiyo inakwenda kuongeza ugumu wa maisha kwao, kutokana na kipato chao cha kila siku kuwa kidogo sana.

“ Ukizingatia kwa sasa kupata Sh. 10,000 kwa siku ni ngumu sana, lakini mafuta yamepanda bei, tunalipa LATRA, tunalipa Bima, bado familia inakutegemea, leo tumeletewa TRA, ukweli kodi hii inakwenda kutuumiza sana,” amesema Ntoni Deus.

My Take
Naunga mkono,Pia pombe na Sigara ziongezewe Kodi.
Serikali hii aisee hata aibu hawana

Wanaiba kisha wanawakamua maskini kufidia wizi wao
 
Bado najenga jipya la sungura, ma ban ya zamani nnayo mengi sana moja nataka kizalishe mende, natafuta soko kwanza na mbegu inayonunulika.
You're a sweet granny come here in downtown Calgary to me in my studio apartment and lay your beautiful head on my hairy chest and hear the sound of the heart beats
 
Sasa maafisa usafirishaji walitaka wapewe jina kali bila kutozwa kodi🤣🤣
 
Back
Top Bottom