Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,083
- 6,872
Mtalipa tu. Haya ndiyo matumda ya DP world.Fundi atufanyi kazi kila siku kwa mwezi unafanya kazi wiki mbili alafu ulipe Kodi
Bandari imeuzwa na hakuna hela.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtalipa tu. Haya ndiyo matumda ya DP world.Fundi atufanyi kazi kila siku kwa mwezi unafanya kazi wiki mbili alafu ulipe Kodi
Kweli, watu sijui hawajuagi....V8 hazijinunui zenyeweUzalendo ni kuhamasisha watu kulipa Kodi Kwa maendeleo yao.
Kiuchumi kutoza kodi sana watu masikini unaua uchumi.Kama kipindi kile. Samia anatoa hela kuwapa simba na yanga kwa kila goli. Siyo mbaya
Ila ni pale unafamilia nyumbani umeicha hakuna unga halafu unaenda kuwanunulia marafiki bia. Tuna shule hazina choo, vitabu na madawati.
Katika nchi hii, kuna watu wanapokea mshahara wa 30,000 kwa mwezi (beki), wengine kwa siku wanalipwa 3,000 kwa mwezi 90,000 na wengine 120,000 kwa mwezi, na wengine ni 150,000 kwa mwezi.
Watu hawa ni wengi sana Tanzania ndiyo wananchi.
Sasa unamtoza kodi unafikiri atakuelewa?
Kama Tanzania inataka kodi iboreshe maisha ya watu kiuchumi kama
1. Kupunguza kodi / tozo kwenye biashara
2. Kuweka fursa za wananchi kupata ajira kama baadhi ya sekta kuziendesha zenyewe mfano kuchimba dhahabu, almasi, bandari, gesi n.k hii itafanya hela ibaki hapa hapa Tanzania
3. Kilimo
4. Kuboresha mifumo ya upokeaji hela kutoka nje ya nchi kama kuruhusu kupokea pesa kutoka payapal. Hii itasaidia watu kufanya biashara nje ya nchi na kupokea pesa kutoka kwenye zote duniani
Hiyo kodi ya 65000 Kwa mwaka ni sawa na shilingi 200 Kwa siku.
Ni kiwango kidogo mno lakini naamini wapotoshaji watakikuza sana na kuonesha uonevu.
Uzalendo ni kuhamasisha watu kulipa Kodi Kwa maendeleo yao.
Safi sana. Kila mtu atafikiwa. Mje na huku kwenye pombe za kienyejiBodaboda mmesikia hii? Sasa rasmi mtaanza kulipa Kodi. Hapa Serikali mmechemka na mnawaonea Bodaboda, maana kupata 20,000 kwa siku ni kazi kubwa ila Nchi itajengwa na Watanzania wote.
----
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa katika mabadiliko ya Sheria za kodi mwaka 2023, serikali imeweka kodi ya mapato kwa wasafirishaji wa abiria kwa kutumia pikipiki zenye magurudumu mawili (Bodaboda) ambapo watatakiwa kulipa kiasi cha Sh. 65,000 kwa Mwaka.
Hayo yamesemwa jana na Afisa mkuu wa usimamizi wa kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Hamad Mterry, wakati akiwasilisha mada ya mabadiliko ya sheria mbalimbali za kodi kwa wafanyabiashara wa Mkoa wa Simiyu.
Mterry amesema kuwa hiyo ni moja ya sheria ya kodi ambayo ni mpya na imewagusa Bodaboda, ambapo watatakiwa kuichagia serikali kiasi cha Sh. 65,000 kwa mwaka, kuanzia mwaka huu wa fedha ambao tayari umeanza tangu Julai Mosi, 2023.
Afisa Mawasiliano na elimu kwa umma kutoka (TRA) Mkoa wa Simiyu, Benjamin John amesema kuwa Bodaboda anaweza kulipa kodi hiyo kwa awamu nne ndani ya mwaka, ambapo kila awamu atatakiwa kulipa Sh. 16,250.
Hata hivyo wafanyabiashara za kusafirisha abiria kwa kutumia pikipiki (Bodaboda) wanaona kodi hiyo inakwenda kuongeza ugumu wa maisha kwao, kutokana na kipato chao cha kila siku kuwa kidogo sana.
“ Ukizingatia kwa sasa kupata Sh. 10,000 kwa siku ni ngumu sana, lakini mafuta yamepanda bei, tunalipa LATRA, tunalipa Bima, bado familia inakutegemea, leo tumeletewa TRA, ukweli kodi hii inakwenda kutuumiza sana,” amesema Ntoni Deus.
My Take
Naunga mkono,Pia pombe na Sigara ziongezewe Kodi.View attachment 2714625
Kawaida ya vitabu kama hivyo huwa ni vitu vya kusadikika kuliko ualisia, ni sawa na vile vitabu vya "HOW TO BE RICH" ukichimba maisha ya mhusika unakuta hakuna kitu hata kimoja anaweza kufuata ili awe tajiri.Marekani na Africa ni mbingu na ardhi wala usilinganishe hivyo vitu.Marekan mtu ananunua bag la mwanafunzi 10mln shilings halafu ndio ulinganishe na mzazi wa africa anayekosa bag la sh 20,000.Siyo kweli kwamba hakuna anayependa kulipa kodi.
Hapa ninapoishi Marekani kodi za nyumba ndiyo zinaendesha shule za msingi na sekondari.
Na zinaendesha shule vizuri tu.
Lakini kuna wazazi wengi huchangia mifuko mbalimbali ya kuboresha mambo ya elimu, bila kushurutishwa kufanya hivyo, kwa kueleea umuhimu wa elimu.
Ukitaka kuelewa habari hizi kwa upananzaidi soma kitabu cha Robert D. Putnam "Our Kids: The American Dream in Crisis" kaongelea sana jambo hili.
Hivyo, habari yako kwamba hakuna mtu anapendankulipa kodi si kweli.
Huku tulipo kuna watu wanalipa kodi mpaka nyingine za kujiwekea wenyewe juu ya kodi za serikali.
Anaetakiwa kulipa ni mwenye chombo au dereva?Bodaboda mmesikia hii? Sasa rasmi mtaanza kulipa Kodi. Hapa Serikali mmechemka na mnawaonea Bodaboda, maana kupata 20,000 kwa siku ni kazi kubwa ila Nchi itajengwa na Watanzania wote.
----
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa katika mabadiliko ya Sheria za kodi mwaka 2023, serikali imeweka kodi ya mapato kwa wasafirishaji wa abiria kwa kutumia pikipiki zenye magurudumu mawili (Bodaboda) ambapo watatakiwa kulipa kiasi cha Sh. 65,000 kwa Mwaka.
Hayo yamesemwa jana na Afisa mkuu wa usimamizi wa kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Hamad Mterry, wakati akiwasilisha mada ya mabadiliko ya sheria mbalimbali za kodi kwa wafanyabiashara wa Mkoa wa Simiyu.
Mterry amesema kuwa hiyo ni moja ya sheria ya kodi ambayo ni mpya na imewagusa Bodaboda, ambapo watatakiwa kuichagia serikali kiasi cha Sh. 65,000 kwa mwaka, kuanzia mwaka huu wa fedha ambao tayari umeanza tangu Julai Mosi, 2023.
Afisa Mawasiliano na elimu kwa umma kutoka (TRA) Mkoa wa Simiyu, Benjamin John amesema kuwa Bodaboda anaweza kulipa kodi hiyo kwa awamu nne ndani ya mwaka, ambapo kila awamu atatakiwa kulipa Sh. 16,250.
Hata hivyo wafanyabiashara za kusafirisha abiria kwa kutumia pikipiki (Bodaboda) wanaona kodi hiyo inakwenda kuongeza ugumu wa maisha kwao, kutokana na kipato chao cha kila siku kuwa kidogo sana.
“ Ukizingatia kwa sasa kupata Sh. 10,000 kwa siku ni ngumu sana, lakini mafuta yamepanda bei, tunalipa LATRA, tunalipa Bima, bado familia inakutegemea, leo tumeletewa TRA, ukweli kodi hii inakwenda kutuumiza sana,” amesema Ntoni Deus.
My Take
Naunga mkono,Pia pombe na Sigara ziongezewe Kodi.View attachment 2714625
Umekisoma kitabu?Kawaida ya vitabu kama hivyo huwa ni vitu vya kusadikika kuliko ualisia, ni sawa na vile vitabu vya "HOW TO BE RICH" ukichimba maisha ya mhusika unakuta hakuna kitu hata kimoja anaweza kufuata ili awe tajiri.Marekani na Africa ni mbingu na ardhi wala usilinganishe hivyo vitu.Marekan mtu ananunua bag la mwanafunzi 10mln shilings halafu ndio ulinganishe na mzazi wa africa anayekosa bag la sh 20,000.
Hata ukitafuta hotuba za Obama wakati wa kampeini zake kuna sehemu aliongelea hilo jambo.Umekisoma kitabu?
Ninajibu hoja yako kwamba watu hawapendi kulipa kodi duniani kote, duniani kote ni pamoja na Marekani.
Au Marekani haipo katika dunia yote?
Kwa nini Watanzania wengi wana huu ujinga wa kuwa insular sana?
Jambo gani?Hata ukitafuta hotuba za Obama wakati wa kampeini zake kuna sehemu aliongelea hilo jambo.
Safi sana. Kila mtu atafikiwa. Mje na huku kwenye pombe za kienyeji