TRA: Pikipiki (Bodaboda) kuanza kulipa Kodi ya Tsh. 65,000/- kwa mwaka

Kiuchumi kutoza kodi sana watu masikini unaua uchumi.

Kodi wanatakiwa kutozwa wafanyabiashara wakubwa.
 
Bodaboda walipe tu,tena ingefaa kuwa laki na nusu kabisa,ila nimeona mwanya sehem,Selikali ikipunguza kodi za uagizwaji wa magari ,tungepata pesa nyingisana tofauti na sasa kodi kubwa mno na wanaoagiza magari ni walewale tu,tunakosa pesa kwenye mafuta na kwingineko
 
Do world wao watalipa Bei gani
Hiyo kodi ya 65000 Kwa mwaka ni sawa na shilingi 200 Kwa siku.

Ni kiwango kidogo mno lakini naamini wapotoshaji watakikuza sana na kuonesha uonevu.

Uzalendo ni kuhamasisha watu kulipa Kodi Kwa maendeleo yao.
 
Safi sana. Kila mtu atafikiwa. Mje na huku kwenye pombe za kienyeji
 
Ukiona umetembea miles nyingi halafu unaanza kuiona mikorosho jua ndio umeingia pwani
 
Kawaida ya vitabu kama hivyo huwa ni vitu vya kusadikika kuliko ualisia, ni sawa na vile vitabu vya "HOW TO BE RICH" ukichimba maisha ya mhusika unakuta hakuna kitu hata kimoja anaweza kufuata ili awe tajiri.Marekani na Africa ni mbingu na ardhi wala usilinganishe hivyo vitu.Marekan mtu ananunua bag la mwanafunzi 10mln shilings halafu ndio ulinganishe na mzazi wa africa anayekosa bag la sh 20,000.
 
Anaetakiwa kulipa ni mwenye chombo au dereva?
 
Umekisoma kitabu?

Ninajibu hoja yako kwamba watu hawapendi kulipa kodi duniani kote, duniani kote ni pamoja na Marekani.

Au Marekani haipo katika dunia yote?

Kwa nini Watanzania wengi wana huu ujinga wa kuwa insular sana?
 
Kama hesabu ni tsh 200 kwa mwaka walipe waache upuuzi..
 
TRA mmekosa ubunifu kabisa wa vyanzo vya mapato au ndiyo kushindwa kujisimamia?
 
Tunapenda Sana kulalamika Sana watanzania.
Kodi ndogo hiyo kwa mwaka mzima,bado unalialia.
Acha tuguswe wote katika Ujenzi wa taifa.
Kama my anachukua Pikipiki ya mkataba anafanya kazi mkataba unaisha na bado mda huo anakula kutegemea bodaboda hiyo,iweje ulalamikie elfu 65000 kwa mwaka?.
Kuweni siriasi.

Ila Napo Serikali waache ujinga was kututwisha mizigo wananchi irihali pesa zinaliwa kutwa kucha.

Kwanza ituletee mlejesho wa ripoti ya CAG wa ukaguzi was miaka 7 nyuma,afu tuendelee bila hivyo ni Ushamba.

Okey,au iendelee kukandamizia hapohapo mpaka akili itusogee.

Maana bila hivyo,hatuwezi kuamka.

Pia nashauri Kodi na TRA wawe wanafika mpaka vijijini maana kule wait wanaona maisha kawaida tu.

Maana kule hawajui CCM inafanyaje kazi.

KUNITOLEA POVU RUKSA,MAANA SINA HELA YA SABUNI.
Ntaitumia kufuria nguo zangu.
Nipo zangu Grosary ya chimbo hapa.
 
Ni sawa, ila wengi wahuni, namna ya kuwapata wakalipie...
 
Umekisoma kitabu?

Ninajibu hoja yako kwamba watu hawapendi kulipa kodi duniani kote, duniani kote ni pamoja na Marekani.

Au Marekani haipo katika dunia yote?

Kwa nini Watanzania wengi wana huu ujinga wa kuwa insular sana?
Hata ukitafuta hotuba za Obama wakati wa kampeini zake kuna sehemu aliongelea hilo jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…