TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

Kama ni hivyo basi TRA hawajitambui
 
Kama ni hivyo basi TRA hawajitambui
Hili suala limenigusa kwasababu uncle wangu imewahi kumkuta hii kadhia alifungiwa account zake za bank na alitakiwa alipe kiasi fulani Cha kodi kinachodaiwa na TRA akawaomba wamfanyie audit accounting ya tax anayodaiwa ikakuta ni kiwango Cha tax ni kikubwa kuliko hata alichoambiwa alipe na TRA
 
Ofisi nyingi za serikali wamejaa malimbukeni na watu wenye elimu za makaratasi Wasio na exposure yoyote.

Huwa wanatuona tunaoenda TRA kama wapuuzi tusiojielewa. Hawa TRA mfumo WA eFilling hakuna mwezi wowote umewahi kuwa Sawa na bado wafanyabiashara WAnapigwa fine Kwa kuchelewa kuwasilisha mahesabu Hali isababishwayo na mfumo mbovu WA eFilling.

Ukienda ofisi zao walau uwaelekeze namna ya kuboresha huo mfumo wanajifanya wajuaji na wanakuona hujitambui.

Sijapata kuona nchi yoyote duniani tofauti na Tanzania mlipa Kodi anapata mazingira magumu ya kulipa Kodi. Leo hii pitia wafanyabiashara hata 10 uone wanavyoteseka kulipa Kodi ya Vat kila mwezi Kwa ubovu WA mfumo WA eFilling na WAnapigwa PENALTy za kutosha. Hadi unabaki unashangaa hii nchi ina watumishi wenye very LOW THINKING CAPACITY.

Tembelea duniani kote hata nchi zenye vita linapokuja suala la kulipa Kodi raia katengenezewa mazingira mazuri alipe Kodi. Tanzania MTU ana Kodi mkononi anahangaik kuilipa.

Hii ni nchi yetu sote, tunaipenda sote. Kuna watu wanaihujumu TRA Kwa Makusudi.

Ngoja niishie hapa.
 
Halafu waheshimiwa, nawaomba mtupunguzie usumbufu wa kuwafuata fuata kwenye ofisi zenu. Yaani ikiwezekana tukutane mara moja tu kwa mwaka; mwezi Machi, wakati wa makadirio.
Hivi haiwezekani kabisa kuwatumia wafanyabiashara control number za malipo ya kodi kupitia simu zao?

Hivi kina sababu ya msingi kweli ya mtu kuacha shughuli zake, na kufunga safari kuja kwenye ofisi zenu, kuchukua hiyo control number? Mbona mnapenda sana urasimu? Yaani hela ni ya kwangu, lakini bado natakiwa kuja kupanga foleni, na kuwalamba miguu kwanza! Ndipo nikalipie!! Badilikeni bhana.
 
Mifano yote alizikwa nayo......
Kuna mtu wakati ule alikuwa na thubutu ya kuleta malamiko yake kwenye media.....
Usijitoe ufahamu, wafanyabiashara walikuwa wanaishi kama wako Sobibor camp....
You made my morning aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…