Mbona umen'gan'gania lipa kodi nimemsikiliza diamond kwenye hiyo video vizuri wala yeye alalamiki suala la kulipa kodi kwasababu yeyemwenyewe ni mlipaji mzuri wa kodi na amekuwa wanawasiliana vizuri na kukaa pamoja na TRA ila kinamshangaza ndipo key point ambapo TRA wanatakiwa wamjibu ni kitendo Cha kumfungia account zake bila kumpa taarifa yoyote juu la Hilo suala wakati wana number zake za simu, na pia wana njia nyingi za kumpa taarifa lakini hawajafanya na amejaribu kwenda TRA baada ya kufungiwa hawajampa majibu ya kueleweka zaidi ya kuambiwa nenda kwa mtu fulani na akifika kwa huyo anarushiwa kwa mtu mwingine bila kupewa majibu yoyote hiyo ndio key point ya malalamiko ya Diamond nashangaa wewe unaamisha magoal
Mshana Jr
Demi