TRA Tanzania watakua wanazingua sana wakifanya hivyowatu walishachaguliwa kitambo ule mtihan ni mabonye tu waulize NBAA
Mungu ingilia kati...mzigo urudi PSRS.Sasa ndio nini kufanya hivyo hawaamini walicholetewa na NBAA au?
Hahaha umeamua kuwa tag. WajioneTRA Tanzania mboni hamtaki kuwapa hawa watoto matokeo yao?