Hahahahaha umetisha.hizo stress akizileta kazini kutakuwa na customer care kweli? na hawa wahasibu wetu wenye makalio si ndo atataka aonje kila mtikisiko, huyu aende tu bbt akishindwa veta
we acha tu, mtihani maltiple choice na true and false mtu kafeliDaah huyu aliepata zero mbona kasheshe? Nadhani aangaliwe vizuri.
Kuna tetesi kuwa nafasi nyingi za tra zimebaki wazi baada ya watu waliotwa kufeli interview, kukataa mshahara mdogo na wengine kusema wanakofanyakazi sasa kuna maslahi mazuri kuliko hiyo kazi wabayotaka kuajiriwa.
mfano, kuna mmoja amesema mwajiri wake wa sasa amempa gari nyumba na anamsomeshea watoto.
mwingine jasema mkopo anaotakiwa kurejesha bank ni mkubwa kuliko mshahara wanaompa hivyo hataweza kufanyakazi.
wapo kwenye mahojiano ya ana kwa ana imeonyesha wana uwezo mdogo ukilinganisha na cv zao.
ndo maana nimesema tetesi, kuwa nafasi nyingi zimebaki wazi😂😂😂
Umeyajuaje!!!
Upo ndani ya lori la waohusika na haya?
you speak the tongue of the mediocracy...Kuna tetesi kuwa nafasi nyingi za tra zimebaki wazi baada ya watu waliotwa kufeli interview, kukataa mshahara mdogo na wengine kusema wanakofanyakazi sasa kuna maslahi mazuri kuliko hiyo kazi wabayotaka kuajiriwa.
mfano, kuna mmoja amesema mwajiri wake wa sasa amempa gari nyumba na anamsomeshea watoto.
mwingine jasema mkopo anaotakiwa kurejesha bank ni mkubwa kuliko mshahara wanaompa hivyo hataweza kufanyakazi.
wapo kwenye mahojiano ya ana kwa ana imeonyesha wana uwezo mdogo ukilinganisha na cv zao.
Thanks for the feedback 🙏🙏you speak the tongue of the mediocracy...
tulia kimya kama hujui kitu...
elewa kabla mwezi huu kupinduka watawataarifu..
kuna watu wanaanza likizo end june na tushapewa uhakika kontena jipya litakuwa sight kupokea basic works...
Dah yani wayatoe tu jmn hayo matokeo ASAP. Tumechoka kusubiri. Kama tumekosa watwambie tu mweehyou speak the tongue of the mediocracy...
tulia kimya kama hujui kitu...
elewa kabla mwezi huu kupinduka watawataarifu..
kuna watu wanaanza likizo end june na tushapewa uhakika kontena jipya litakuwa sight kupokea basic works...
Aya vijana kazi kwenu..mkipokea email mlete mrejesho tafadhali
Yah atakaepata atasemaAya vijana kazi kwenu..mkipokea email mlete mrejesho tafadhali
Kuna jambo linafichwa hapa sio Bure.Wapost PDF tuu haya mambo ya email ni Jau..unaweza subiri Email mpaka mwisho wa dunia