Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 6,076
- 15,685
Mpambano ulikuwa mkali, vijana wasikate tamaa.
Hiyo ni patashika nguo kuchanika
Hiyo ni patashika nguo kuchanika
Usikate tamaa mkuu! Next time utapiga 99 watakuchukua wenzio waliopiga 97 watakula za usoYaan sio poa madogo wakaze awamu ijayo, kuna wadau hii ni mara ya 5 km sio ya 6 wanafanya written na hawavuki kwenda Oral usione namba zile nyingi
Wanadai yanapatikana kwa tovuti yao, hii ni kwa mujibu wa tangazo walilotoa usiku huu.TRA toeni basi hayo matokeo ya oral leo si ndio tarehe 26 au na leo mnataka muombe misamaha mingine?
View attachment 3316758
TRA Tanzania
Pole sana ndugu yangu bado oral sasa, usishangae unaweza piga 100% na oral ikakupiga vibaya mno,but always kuna next time kama una pumzi wewe pambana tuu.Hizo marks zimetokana na baadhi ya watu kuingia na simu na kuzitumia, kuangaliziana
Kwa ID yako maana yake una -10, kwahiyo kupata 0 ni hatua kubwa Mkuu unaekekea pazuri.Nimeiwakilisha JF mkuu huoni nipo kwenye mkeka hapo?
Kazi kweli kweli hakuwa na namba na kachaguliwa how comes ? 😂😂😂Natabiri, haya matokeo yatakuwa na malalamiko mengi sana kwa serikali.
Nimepata alama ambazo hazigawanyiki kwa mgawanyo wa alama za maswali. Nashindwa kuelewa. Inakuaje napata swali alama nusu kwenye Maswali ya objective. Cut off marks 74 napataje 73 kwa maswali 40 yenye alama ya 2.5 kila swali??? Hii 73 inakujaje hapo kwenye maswali ya objective????Kazi kweli kweli hakuwa na namba na kachaguliwa how comes ? 😂😂😂
Yaan hapo maana yake kunywa chai yenye vitumbua 70 na chupa 3 za chai kisha relax subiria interview nyingine ukaipasue wataita tenaNimepata alama ambazo hazigawanyiki kwa mgawanyo wa alama za maswali. Nashindwa kuelewa. Inakuaje napata swali alama nusu kwenye Maswali ya objective. Cut off marks 74 napataje 73 kwa maswali 40 yenye alama ya 2.5 kila swali??? Hii 73 inakujaje hapo kwenye maswali ya objective????
Hahahaha...hamna shida, inabidi tuwaamini tu wataalamu wetu.Yaan hapo maana yake kunywa chai yenye vitumbua 70 na chupa 3 za chai kisha relax subiria interview nyingine ukaipasue wataita tena
Pole sana....Nimepata alama ambazo hazigawanyiki kwa mgawanyo wa alama za maswali. Nashindwa kuelewa. Inakuaje napata swali alama nusu kwenye Maswali ya objective. Cut off marks 74 napataje 73 kwa maswali 40 yenye alama ya 2.5 kila swali??? Hii 73 inakujaje hapo kwenye maswali ya objective????
Angalia vizuri..yapo vizuri tu na selected ni over 500Hv wakuu watu wa custom mbna a majina hayapo