TRA toeni basi hayo matokeo ya oral leo si ndio tarehe 26 au na leo mnataka muombe misamaha mingine

TRA toeni basi hayo matokeo ya oral leo si ndio tarehe 26 au na leo mnataka muombe misamaha mingine

Wanaleta janja janja watu washaona km wanataka kupachika watu wao si wasingeita watu interview tu kuliko kusumbuana kijinga
Nakubali, lazima mashaka yawepo yaani saa hizi saa 5 na dakika 45 karibia saa 6 usiku kugeuka 27/4/2025 bado hawajatoa raia lazima wawe na mashaka hasa ukizingatia Tangazo la mwanzo walisema tarehe 25 mzigo utakuwa tayari, ikapita 0-0 na leo tena 26/4/2025 mpaka sasa 23:45 bado ' nyau nyau'

Uadilifu uko wapi?
 
Hii ishakua tarehe 27 wanayafanya nini hayo matokeo?
 
Mzigo tayariii
Screenshot_2025-04-27-00-03-07-804_com.whatsapp.jpg
 
Pepa naskia zilikua zimeshonwa mtu wa kwanza kada flan ana 70 ..unategemea nini tena hapo
Sio mchezo kwa hio walikosa watu kwenye hio kada maana marks hazijafika ndio wakaona wachekeche ili watu wapite?
 
Waswahili wana msemo wao:
Umeoga, umepaka mafuta na kuvaa nguo nzuri ila mjini hauendi.
Screenshot_20250427_003539_Chrome.jpg

Huu ujinga sijui hawa watu wanajisikiaje huko 😔
Screenshot_20250427_003604_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom