Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
- Thread starter
- #21
Wanayafanya nini hayo matokeo wameletewa tangu tarehe 23 mpaka 25 wamegoma kuyatoa na leo pia wataendeleza mgomo wa kuyatoa maana mpaka muda huu hakuna matokeo maana yake hapa ni mpaka tarehe 28 maana kesho hakuna kazi kabisaWanarushiana mpira nani atamvisha paka kengere, nani abonyeze button ya ku upload 😂😂😂