TRA toeni basi hayo matokeo ya oral leo si ndio tarehe 26 au na leo mnataka muombe misamaha mingine

TRA toeni basi hayo matokeo ya oral leo si ndio tarehe 26 au na leo mnataka muombe misamaha mingine

Ndio mana yake mzee..chukulia umepata mfano Wqqssqs50.5 na wamechukua kuanzia 51...mtu hapo anaumiaje kama si kilio kabisa...
Ilishawahi kunikuta nilikosa 0.5 nikasema najipanga ilipokuja nilihakikisha napasua and colleagues nilipasua haswaa.

So sometimes setbacks are setup to come back.

Kwa mliopasua interview mjue battle haijaisha.
 
Nimepata alama ambazo hazigawanyiki kwa mgawanyo wa alama za maswali. Nashindwa kuelewa. Inakuaje napata swali alama nusu kwenye Maswali ya objective. Cut off marks 74 napataje 73 kwa maswali 40 yenye alama ya 2.5 kila swali??? Hii 73 inakujaje hapo kwenye maswali ya objective????
Hata mimi nimeshangaa sana aisee yan daaah noma sanaaa
 
Nimepata alama ambazo hazigawanyiki kwa mgawanyo wa alama za maswali. Nashindwa kuelewa. Inakuaje napata swali alama nusu kwenye Maswali ya objective. Cut off marks 74 napataje 73 kwa maswali 40 yenye alama ya 2.5 kila swali??? Hii 73 inakujaje hapo kwenye maswali ya objective????
Alieweka marks kakosea sana marks hazimek sense kabisa sababu kwa marks hizo hapo ni umepata maswali 29.2 sasa hii Point .2 imetoka wapi?
 
Sasa matokeo wanaogopa nini kuyatoa au NBAA kuna kazi hawakuimaliza vizuri ndio wanaimalizia TRA?
Mkuu kuwa mpole, hii Dunia inaendeshwa na fedha, mamlaka na nguvu! Ukiona haupo kwenye makundi hayo basi kesheni mkiomba maana inafika wakati hata Mungu anasusa!, fikilia mtu amepiga 80 kwa matokeo ya NBAA lkn kwa TRA Ana 32? 😂 Hiiiiiii Tanzania ni Nchi ya uhuru na haki
 
Nyuzi za malalamiko ya ajira za Tra ni kielelezo kuwa huko Kuna rushwa,
Kama mishahara ya serikali ni Sawa kwa nn Tra ioendwe Sana na wanaoomba ajira
 
Mkuu hukufanya swali la calculation? Lile swali hata kuweka data ina max kwahyo huenda uliokotaokota kwenye swali hilo hatimae akapata hiyo 73
Bro kuna mtihani ulikuwa na Mcq, true/false, matching items, na maswali yalikuwa 40 kila swali lina marks 2.5 then mtu anapata 73 hebu piga hesabu, achana na mtihani wa swali la calculations masta,
 
TRA toeni basi hayo matokeo ya oral leo si ndio tarehe 26 au na leo mnataka muombe misamaha mingine?
View attachment 3316758

TRA Tanzania
nimeangalia matokeo ya mtihani kuna mtu kafeli kapata 28%, yaani wamechambua CV wanaiona unafaa, una degree, una GPA ya maana mtihani unapata 28%, huku sio kusumbua serikali kweli? kuna mwingine kafaulu vizuri kabisa ila hakuandika namba ya mtihani, huyu asumlaumu mama salia, ni ujinga wake tu
 
Watoe matokeo wasilete figisu figisu watu washaanza kupoteza imani nao matokeo si wameletewa kwenye mfumo na NBAA wao wanayafanya nini si watoe km walivyoletewa wanabadirisha nini?
yishatoka mkuu, wewe ndo umepata 32%?
 
nimeangalia matokeo ya mtihani kuna mtu kafeli kapata 28%, yaani wamechambua CV wanaiona unafaa, una degree, una GPA ya maana mtihani unapata 28%, huku sio kusumbua serikali kweli? kuna mwingine kafaulu vizuri kabisa ila hakuandika namba ya mtihani, huyu asumlaumu mama salia, ni ujinga wake tu
HUYO KAMALIZA SHULE MIAKA 10 ILIYOPITA ANAWAZA FAMILIA INAISHIJE UKUTE SIKU YA PAPER HAKUACHA HELA YA MATUMIZI NYUMBAN HVO ALIKUWA NA STRESS.. USIMUHUKUM MAMBO NI MENGI HAPO.
 
Kila mtu anasema hajatoboa waliotoboa ni kina nani.
Ila Sisi wenye 30yrs na kuendelea hizi pepa tuwaachie madogo.
Siamini Paper ya Engineer II ilivo vile sijatoboa
 
HUYO KAMALIZA SHULE MIAKA 10 ILIYOPITA ANAWAZA FAMILIA INAISHIJE UKUTE SIKU YA PAPER HAKUACHA HELA YA MATUMIZI NYUMBAN HVO ALIKUWA NA STRESS.. USIMUHUKUM MAMBO NI MENGI HAPO.
hizo stress akizileta kazini kutakuwa na customer care kweli? na hawa wahasibu wetu wenye makalio si ndo atataka aonje kila mtikisiko, huyu aende tu bbt akishindwa veta
 
Back
Top Bottom