Wanayafanya nini hayo matokeo wameletewa tangu tarehe 23 mpaka 25 wamegoma kuyatoa na leo pia wataendeleza mgomo wa kuyatoa maana mpaka muda huu hakuna matokeo maana yake hapa ni mpaka tarehe 28 maana kesho hakuna kazi kabisaWanarushiana mpira nani atamvisha paka kengere, nani abonyeze button ya ku upload πππ
Wanachoedit nini wakati NBAA walishamaliza kazi kuedit matokeo ni kazi ya NBAA sio TRA wao TRA ni kuletewa Report ya matokeo na matokeo yakiwa kwenye mfumo wanachoedit nini kingine kazi yao wao ilikua ni kuyatoa matokeo tu km yalivyo sio nyingineWana EDIT matokeo
Mm toka tu walivyo rudisha tra nilikata tamaa kbsa na tumeMungu ingilia kati...mzigo urudi PSRS.
Secretarieti nina imani nao sanSekretarieti ya Ajira tunaomba ajila za tra zirudi kwenu
Kama ule mtiani sina 90 bas uchawi upo na kwamba sipazwi kuajiriwa traTRA ni miyeyusho sana aisee yaani tangu asubuhi mpaka saa hizi saa 4:15 usiku bado 0-0 na kwa mujibu wa tangazo lao walisema itakuwa tarehe 26/4/2025 ambayo ni leo..
Raia wanaweza kupata mashaka juu ya matokeo haya... Isije ikapita leo wakasema yanatoka kesho tena itakuwa ni michezo..
TRA achieni hayo matokeo vijana waanze kujipanga na Oral interview
Matokeo yakitoka utaelewa showKama ule mtiani sina 90 bas uchawi upo na kwamba sipazwi kuajiriwa tra
Yaani utashangaa... matokeo ya mwaka jana niliona kuna raia walipata pass mark ya 50,60,70,80 wakapigwa chiniKama ule mtiani sina 90 bas uchawi upo na kwamba sipazwi kuajiriwa tra
Kaka ule mtiani nimepasua kati ya 90 had 97Matokeo yakitoka utaelewa show
Wanaleta janja janja watu washaona km wanataka kupachika watu wao si wasingeita watu interview tu kuliko kusumbuana kijingaTRA ni miyeyusho sana aisee yaani tangu asubuhi mpaka saa hizi saa 4:15 usiku bado 0-0 na kwa mujibu wa tangazo lao walisema itakuwa tarehe 26/4/2025 ambayo ni leo..
Raia wanaweza kupata mashaka juu ya matokeo haya... Isije ikapita leo wakasema yanatoka kesho tena itakuwa ni michezo..
TRA achieni hayo matokeo vijana waanze kujipanga na Oral interview