Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,654
Nakubali, lazima mashaka yawepo yaani saa hizi saa 5 na dakika 45 karibia saa 6 usiku kugeuka 27/4/2025 bado hawajatoa raia lazima wawe na mashaka hasa ukizingatia Tangazo la mwanzo walisema tarehe 25 mzigo utakuwa tayari, ikapita 0-0 na leo tena 26/4/2025 mpaka sasa 23:45 bado ' nyau nyau'Wanaleta janja janja watu washaona km wanataka kupachika watu wao si wasingeita watu interview tu kuliko kusumbuana kijinga
Hii ishakua tarehe 27 wanayafanya nini hayo matokeo?Nakubali, lazima mashaka yawepo yaani saa hizi saa 5 na dakika 45 karibia saa 6 usiku kugeuka 27/4/2025 bado hawajatoa raia lazima wawe na mashaka hasa ukizingatia Tangazo la mwanzo walisema tarehe 25 mzigo utakuwa tayari, ikapita 0-0 na leo tena 26/4/2025 mpaka sasa 23:45 bado ' nyau nyau'
Uadilifu uko wapi?
Tokeo taariHii ishakua tarehe 27 wanayafanya nini hayo matokeo?
WameshatoaHii ishakua tarehe 27 wanayafanya nini hayo matokeo?
Asanteni sana TRA Tanzania nimepanda nilichokivuna tukutane interview nyingine nitakuwepoHahaha umeamua kuwa tag. Wajione
Uko kichwani umejaza nini? 0 au hukujibu swali hata moja?Asanteni sana TRA Tanzania nimepanda nilichokivuna tukutane interview nyingine nitakuwepoView attachment 3316932
ππ unastahili viboko vya masikioNimeiwakilisha JF mkuu huoni nipo kwenye mkeka hapo?
Kuna uncle ana 95 na hajachaguliwa π90 na HUJACHAGULIWA sasa wewe na alietaga unatofauti gani?
Ogopa mkeka ni wa moto huuWaswahili wana msemo wao:
Umeoga, umepaka mafuta na kuvaa nguo nzuri ila mjini hauendi.
View attachment 3316944
Huu ujinga sijui hawa watu wanajisikiaje huko π
View attachment 3316945