Kuna mtu amepiga 92 na hapokei simu πOgopa mkeka ni wa moto huu
Kwamba umetunga mtihani ukiwa nao amaSio mchezo ni moto balaa mkeka umechangamka huu wanataka 100
Procurement wao aliyeongoza ana 72 π na amechaguliwa πYaan hapo utajua wewe ila wao wanataka ukamue 100 kutokana na wepesi wa hilo pepa sio la kukosa 100
Procurement wao aliyeongoza ana 72 π na amechaguliwa πYaan hapo utajua wewe ila wao wanataka ukamue 100 kutokana na wepesi wa hilo pepa sio la kukosa 100
Namba za viatu
Kuna ambao wamepiga 90 halafu hawajachaguliwaMkuu wewe onyesha yako uliyopiga 88 na HUJACHAGULIWA sasa unatofauti gani na mimi nilietaga?
PSRS for Everybody100% nakubariana na wewe kwa asilimia zote
Kesho kanisani vijana watakuwa wachache sana π mwendo wa headache π«Sio mchezo ni balaa
Ni noma98 na HUJACHAGULIWA sasa si bora ungepata 0 tu utulie
Just imagine kijana wako ana GPA ya 4.0 na amepata 90 na hajapata nafasi πYaan sasa hivi watu wamekosa raha kabisa huko walipo
πππππππ98 na HUJACHAGULIWA sasa si bora ungepata 0 tu utulie
Ndo mtu apate 95 na hajachaguliwa!?Hizo marks zimetokana na baadhi ya watu kuingia na simu na kuzitumia, kuangaliziana
Ajikite kwenye kilimoJust imagine kijana wako ana GPA ya 4.0 na amepata 90 na hajapata nafasi π