TRA toeni basi hayo matokeo ya oral leo si ndio tarehe 26 au na leo mnataka muombe misamaha mingine

hizi interview kwakweli zihamishiwe necta, wawe wanalipa na ada za mitihani, huku ni kuharibiana resources, paper la tra unapata zero kweli!
 
Wametoa na raia wamechezea za uso vibaya mno...
 
Daah huyu aliepata zero mbona kasheshe? Nadhani aangaliwe vizuri.
 
Kuna tetesi kuwa nafasi nyingi za tra zimebaki wazi baada ya watu waliotwa kufeli interview, kukataa mshahara mdogo na wengine kusema wanakofanyakazi sasa kuna maslahi mazuri kuliko hiyo kazi wabayotaka kuajiriwa.

mfano, kuna mmoja amesema mwajiri wake wa sasa amempa gari nyumba na anamsomeshea watoto.

mwingine jasema mkopo anaotakiwa kurejesha bank ni mkubwa kuliko mshahara wanaompa hivyo hataweza kufanyakazi.

wapo kwenye mahojiano ya ana kwa ana imeonyesha wana uwezo mdogo ukilinganisha na cv zao.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Umeyajuaje!!!

Upo ndani ya lori la waohusika na haya?
 
you speak the tongue of the mediocracy...
tulia kimya kama hujui kitu...
elewa kabla mwezi huu kupinduka watawataarifu..
kuna watu wanaanza likizo end june na tushapewa uhakika kontena jipya litakuwa sight kupokea basic works...
 
Thanks for the feedback πŸ™πŸ™
 
you speak the tongue of the mediocracy...
tulia kimya kama hujui kitu...
elewa kabla mwezi huu kupinduka watawataarifu..
kuna watu wanaanza likizo end june na tushapewa uhakika kontena jipya litakuwa sight kupokea basic works...
Dah yani wayatoe tu jmn hayo matokeo ASAP. Tumechoka kusubiri. Kama tumekosa watwambie tu mweeh
 
Wapost PDF tuu haya mambo ya email ni Jau..unaweza subiri Email mpaka mwisho wa dunia
 
Wapost PDF tuu haya mambo ya email ni Jau..unaweza subiri Email mpaka mwisho wa dunia
Kuna jambo linafichwa hapa sio Bure.
Wangetoa PDF kwa namba za usaili Kisha wakatuma emails kwa waliopata kazi.
I smell Hujuma hapa 😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…