Utalipwa na cash yake sio taasisi ya bima mkuu.Kuwa usimfuatilie mtu kwa kuwa gari hilo halipandi?!!! Na mimi niliyopo njiani akanigonga bima nitalipwa na nani? Na sikuwa ndani ya gari lake? Hoja yako haipo sahihi, ndio maana bima kwenye chombo cha moto sio hiari ni lazima.
Road licence ilishafutwa. TRA hawahusiki na bima. Trafiki na TIRA ndio kazi yao labda waonganishe nguvu tu.Mwenzenu anaongelea road licence.
Pole mkuu sheria haipo hivyo!! Je kama yeye amefariki kwenye hiyo ajari?Utalipwa na cash yake sio taasisi ya bima mkuu.
Achaga unoko usio na maana wewe, hapo usikute huna gari wala boda wala baiskeli. Unamsaidia Mh Rais kakuomba? zikusanywe hizo hela wakanunue ndege ambazo hazitusaidii kitu? waacheni watu wapunguze makali ya maisha yao unawashwa washwa nini wewe? mijitu mingine bwana.. hizo hela watatumia kulea watoto wao, kuwapeleka shule na kujikimu mambo mengine, serikali inahela achana na mambo yasiyo kuhusu we mshamba.Wakati muafaka kuendelea kumsaidia Mh. Rais atimize yale aliyopàngiwa na Mungu
Ndugu zangu TRA tokeni maofisini nenden mitaan mkakague magari mengi yako mtaani yamekwepa kulipa kodi tena wakishirikiana na baadhi ya wafanyakazi wenu wasio waaminifu
Tuamke sasa kumsaidia Rais
La pili, kuna Stickers fake za bima ziko kila kona magari mengi hayana bima halali hili na la polisi tunaomba tuingie mtaani tukapambane kodi zilipwe.
Ndio basi tena, na wewe unatoa pole kwa wafiwa., haya mabasi tu yana bima lakini yakipata ajali hakuna kitu kinarudi kwa waathirika na maisha yanasonga.Pole mkuu sheria haipo hivyo!! Je kama yeye amefariki kwenye hiyo ajari?
Hata hao bima ni wezi tu, mabasi yanapata ajali sijawahi ona wanawalipa abiria, gari umekata bima comprehensive kwa thamani ya milioni 40 ukalipishwa bima ya milioni 3 au mbili kwa mwaka gari hiyo ikianguka hawakulipi milioni arobaini hizo ukipambana unaweza lipwa 10 na hapo umehonga sana polisi wakuchoree mchoro, na mtu wa bima atakae kuja kwa kuchelewa kukagua eneo la ajali , sasa kwa upuuzi huu kwann ukalipe mahela mengi bima? na huku ukijua hata ajali iwe siyo ya uzembe hulipwi hela yote na utapitia figisu.. hela ya kulipa bima kanunue tairi mpya Michelin, bridgestone, fanya service kubwa ya gari yako utapunguza ajali.Kuwa usimfuatilie mtu kwa kuwa gari hilo halipandi?!!! Na mimi niliyopo njiani akanigonga bima nitalipwa na nani? Na sikuwa ndani ya gari lake? Hoja yako haipo sahihi, ndio maana bima kwenye chombo cha moto sio hiari ni lazima.
Wakati muafaka kuendelea kumsaidia Mh. Rais atimize yale aliyopàngiwa na Mungu
Ndugu zangu TRA tokeni maofisini nenden mitaan mkakague magari mengi yako mtaani yamekwepa kulipa kodi tena wakishirikiana na baadhi ya wafanyakazi wenu wasio waaminifu
Tuamke sasa kumsaidia Rais
La pili, kuna Stickers fake za bima ziko kila kona magari mengi hayana bima halali hili na la polisi tunaomba tuingie mtaani tukapambane kodi zilipwe.
Ndiyo hajui huyo mheshimiwa kuwa hiyo imefutwa, maana ukiondoa ushuru/kodi ya kuingiza magari nchini ushuru pekee ulikua ni road licence ambayo imefutwaRoad licence ilishafutwa. TRA hawahusiki na bima. Trafiki na TIRA ndio kazi yao labda waonganishe nguvu tu.
Kwa hiyo wwe unataka kutufundisha kazi zetu!?Usihofu mkuu bado project NYINGINE zinahitaji watanzania kulipa kodi KWA ufasahaa mkuu
Kama ni kweli unayajua hayo magari ambayo yamelipiwa ushuru pungufu na yale yenye bima fake chukua no za hizo gari alafu peleka kwa wa usika,hapo ndiyo tutajua kweli wwe unania nzuri ya kumsaidia muheshimiwa kukusanya kodi kuliko kuleta habari kifitinafitina!!TULIPE KODI KWA. MAENDELEO YA MTANZANIA.WAJIBU WA. KILA MMOJA
KINACHOTOKEA WANAOKOKOTOA HUSHINDWA KUMSAIDIA MH NA MWISHO WATU KULIPA KODI PUNGUFU YA UHALISIA WA GARI....
HAKUNA ALIEANDIKA. ROAD LICENSE NAONA. MAPOVU YANAWATOKA KAMA MLIHONGA MKALIPA PUNGUFU KAZI KWENU MJIANDAEKUMALIZIA DENI
ZILE BIMA FAKE ZIPO NYINGI SANAA SANA NANAAMINI WAH WA TRAFFIC WATATUSAIDIA KUHAKIKISHA KILA GATI LINA BIMA HALISI ILIOLIPWA NA KODI YA SERKL IKAPATIKANA
VIL VISTICKERS VYENU MJIANDAE KUKATA BIMA HALALII AMA MPAKI MAGARI YENU MPAKA MESSIAH ATAKAPOKUJA
Wakati muafaka kuendelea kumsaidia Mh. Rais atimize yale aliyopàngiwa na Mungu.
Ndugu zangu TRA tokeni maofisini nenden mitaan mkakague magari mengi yako mtaani yamekwepa kulipa kodi tena wakishirikiana na baadhi ya wafanyakazi wenu wasio waaminifu.
Tuamke sasa kumsaidia Rais.
La pili, kuna Stickers fake za bima ziko kila kona magari mengi hayana bima halali hili na la polisi tunaomba tuingie mtaani tukapambane kodi zilipwe.
Umeongea maneno ya busara sana kamanda, big up!Achaga unoko usio na maana wewe, hapo usikute huna gari wala boda wala baiskeli. Unamsaidia Mh Rais kakuomba? zikusanywe hizo hela wakanunue ndege ambazo hazitusaidii kitu? waacheni watu wapunguze makali ya maisha yao unawashwa washwa nini wewe? mijitu mingine bwana.. hizo hela watatumia kulea watoto wao, kuwapeleka shule na kujikimu mambo mengine, serikali inahela achana na mambo yasiyo kuhusu we mshamba.