TRA: Ukitoka kuagiza gari kutoka nje (Mfano Japan), lazima uwe na TIN number

Hii wameweka ili kujua mfanyabsiahara wa magari na mnunuzi wa gari binafsi, kwa ajiri ya kukamua Kodi. Wakishaona TIN inaingiza sana magari wanajua huyu ni biashara, so wanaenda kumkaba Kodi..
 
Wametoa maelezo mengi pia hata wale ambao walinunua gari Wakiwa Bar, Wanatakiwa kwanza kuwarudia waliowauzia then wapate documents zote ikiwa pamoja na Picha pamoja na barua ya kuomba kubadirisha umiriki wa gari... Nzuri zaid anayetakiwa kufanya hvyo ni Aliyeuza
 
Watanzania sijui magari yaliwakosea nini aisee TRA badala ya kupunguza matatizo ndio mnaongeza matatizo kwa magari yenyewe yanayoagizwa machakavu tu waty wanaagiza magari sawa na umri wao ila hizo kodi mnazoongeza kama amenunua gari mpya sijui huwa mnafikiria nini?ndio maana watu wengi wanakwepa kulipa kodi na mpo busy kuunda Task force zingine zinawaua kwa kukosa maarifa..
 
TRA ni wezi wa hatari sana ,kuna kitu niliagiza nje kidogo sana ,kinauzwa Tsh 1500 ,kilivyokuja Bongo ofisi ya Posta kikakatwa Tsh 3000 yaani kodi ni mara mbili ya bei ya kununulia..
Hawa jamaa ni kiboko Land Cruiser 70 model zipo zinasoma kodi 79m na pick up single cabin za 2014 wanataka zaidi ya 40m wanapata faida kuliko watengenezaji wa hizo gari..
 
Hawa jamaa ni kiboko Land Cruiser 70 model zipo zinasoma kodi 79m na pick up single cabin za 2014 wanataka zaidi ya 40m wanapata faida kuliko watengenezaji wa hizo gari..

Yaani acha wanaorate kodi hapo HQ naona hawana exposure at all ,wamebase kwenye target tu na si uhalisia...Haiwezekani kodi iwe kubwa tena hadi mara mbili ya bei halisi.....wachaji kodi 25% ya CIF.
 
Tanzania ni tatizo kubwa sana, complications za Kodi ni nyingi sana kupita kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…