uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Naona utaratibu unazidi kubadirika.
Kuanzia tar 20 Jan, 2025 unavoagiza gari kutoka nje ya Tanzania, lazima utume na TIN number, sio kama zamani ulikua unaitumia wakati wa kutoa gari.
View attachment 3210407
Admin kutoka Mapato TRA Tanzania njoo ufafanue.
Hakuna tofauti hapo! Hayo ni maboresho, ila najua ni namna ya kutakq kuwabana wale wenye tin na wenye madeni, clear kwanza ndo agiza!