TRA: Ukitoka kuagiza gari kutoka nje (Mfano Japan), lazima uwe na TIN number

Hakuna tofauti hapo! Hayo ni maboresho, ila najua ni namna ya kutakq kuwabana wale wenye tin na wenye madeni, clear kwanza ndo agiza!
 
Hapo ni kipengele Sana nahisi kutakuwa na document Fulani iliyoandaliwa na mwanasheria
 
Watu watanunua magari used ya kitanzania, magari ya mkononi yatakuwa dili. Na yenyewe inasemekana tra wanayalia timing
Kwani kuna nini kipya hapo? Mwanzo ilikuwa unaagiza halafu TIN unaitumia wakati wa kulipa ushuru, ni kwamba TIN inaanza tu kabla ya kuagiza ila hakuna kipya.
 
Kwani kuna nini kipya hapo? Mwanzo ilikuwa unaagiza halafu TIN unaitumia wakati wa kulipa ushuru, ni kwamba TIN inaanza tu kabla ya kuagiza ila hakuna kipya.
Tatizo lipo DRD nao wanataka kujua muagizaji ni muuzaji au laa na mtu agiza TIN moja magari ya gharama wana kawaida ya kuifunga TIN usiendelee na mchakato wa kulipia na gari ikiwa mikononi mwao wanatengeneza mazingira ya rushwa tu..
 
DRD ndio kitu gani Mtaalam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…