Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Mzee upo? Wadau tulijua ulizikwa na mwendakuzimu.Duh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee upo? Wadau tulijua ulizikwa na mwendakuzimu.Duh.
Kuna Taarifa Kutoka TRA wakikanusha Uzushi Ulioletwa Hapa Jamii Forum Kuhusu Mtandao Wa TRA kutofanya Kazi Nchi Nzima. View attachment 1800217
Haya mambo hutokea sana, mtandao huwa unasingiziwa kama wakizidiwa na kaziNajua tarehe tajwa tin ilishindikana kuibadili kutoka ya biashara kuwa ya mtu binafsi kutokana na matatizo ya mtandao. Sasa wafanyakazi wao wanatudanganya wateja, au wakanushaji wajitekenya na kujicheka wenyewe, wanajua linaloendelea? Hiyo ilikuwa Ta, mikoa mingine sijui.
Najua tarehe tajwa tin ilishindikana kuibadili kutoka ya biashara kuwa ya mtu binafsi kutokana na matatizo ya mtandao. Sasa wafanyakazi wao wanatudanganya wateja, au wakanushaji wajitekenya na kujicheka wenyewe, wanajua linaloendelea? Hiyo ilikuwa Ta, mikoa mingine sijui.
Kuna wakati watu wanakuwa na mambo ya moto,sema ukisema ulete humu kutakuwa na uzushi unaamua kupotezaJF ni baba lao, ila wanaoivuruga JF ni ma moderators, kuna taarifa nyingi muhimu humu jukwaani tunaweka kuhusu utendaji wa serikali ila wanazifuta.
Ww Huku Ukuwezi, twende Kwenye basketball MkuuTRA uongo ni jadi yao ndiyo sababu hawaoni tatizo kuwabambikia Wafanyabishara kodi FAKE au wapewe rushwa ili wapunguze assessment yao FAKE.
Ww Huku Ukuwezi, twende Kwenye basketball Mkuu
Duh.Mzee upo? Wadau tulijua ulizikwa na mwendakuzimu.
Mifumo kusumbua au kufanyiwa marekebisho hilo sio swala la ajabu kijana umeongea na afisa utumishi yeyote aliyeko karibu nawe amekupa jibu gani kuhusiana na lawson?Kesho sijui taasisi gani itasemwa mimi hapa nipo na tax consultant yangu naona mifumo yao TRa ipo sawa na mpaka VAT niliweza kufile ,sasa na hii ya lawson tena kesho tutasikia na lingine.Hebu tuache kidogo kupotosha
MenukaJr kwanini unazusha? Hebu fafanua haya waliyojibu ni kweli?Kuna Taarifa Kutoka TRA wakikanusha Uzushi Ulioletwa Hapa Jamii Forum Kuhusu Mtandao Wa TRA kutofanya Kazi Nchi Nzima. View attachment 1800217
TRA Wamekanusha Taarifa zilizoandikwa JamiiForums zilizodai Mtandao wao kusumbua.
Wamesema ni taarifa ya Uongo na Uzushi. Kwani imelenga kupotosha na kuleta taharuki miongoni mwa Walipa Kodi pamoja na kuidhalilisha taasisi na Watumishi wake.
Katika kipindi cha mwezi mzima, TRA haikuwa na Hitilafu yoyote.
TRA imewataka Waipa Kodi kuendelea kulipa kodi.
Zaidi, soma; Rais Samia ingilia kati, TRA watatukwamisha
View attachment 1800218
Ale ban kwanzaMenukaJr kwanini unazusha? Hebu fafanua haya waliyojibu ni kweli?
Ungeikanusha taarifa hiyo kabla TRA hawajafanya hivyoSijui wazushi wa taarifa hizi wanapata faida gani? Kwenye tarehe hizi nimelipa VAT na sikupata usumbufu wowote wa mtandao.
Mimi sio msemaji wa TRA.Ungeikanusha taarifa hiyo kabla TRA hawajafanya hivyo
Rais ataingilia vingapi? Vitu vingine acha mamlaka zenyewe zijisemee.Sio kukanusha tu, rais aingilie kati ajulikane muongo nani kati ya mleta mada na TRA
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Asante kwa kunisahihisha na Naomba Msamaha kwa mwandishi kwa kuwakosoa pasipo na kosa...Iliyoandikwa katika mtandao wa JamiiForums.
Taarifa haijakosewa, wewe ndio umeielewa tofauti
Unajua kwa nini tunasema haya mambo huku mitandaoni?Asante kwa kunisahihisha na Naomba Msamaha kwa mwandishi kwa kuwakosoa pasipo na kosa...
Sawa, si ndio za ukweli zitolewe sasa.....Zile ripoti za makusanyo zilikuwa za uongo