TRA Wamepandisha kodi kwa magari yanayoingizwa nchini

TRA Wamepandisha kodi kwa magari yanayoingizwa nchini

Ndio uwezo wa wabongo wengi, hatuna kiwanda cha magari wanalinda lini?
Bila shaka kwanza tungeangalia je USD exchange rate inasomaje bila kuanza laumu kodi kuongezeka. Navyofahamu kabisa na nilishawahi wauliza TRA kuhusu huu mfumo wa kodi ya magari na nilijibiwa kila miezi 3 huwa wanapitia kuangalia. Kodi hakuna sehemu yoyote ilipoongezwa zaidi Bunge likishapitisha sheria na uzuri kodi hii ni ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Tanzania pekee hawawezi ibadili. Zaidi walinielezea kuwa kinachofanya watu waone mabadiliko ni pengine exchange rate au bei za magari kuwa zimebadilika ila viwango vya kodi ni vile vile yaani Import Duty, excise Duty na VAT .
 
+ Uhaba wa USD, gharama itapaa zaidi !!
unajua wakati mwingine unaagiza gari kwa kuangalia exchange rate ya wakati huo ila likifika unakuta USD imepanda hapo lazima utaona kodi imepanda ila kiukweli rates za kodi ni zile zile. Nilichogundua kwa mwaka huu kuna issue ya uchakavu ambayo nayo inabidi kama sisi waingizaji tuifahamu sababu unakuta kabla ya mabadiliko ya sheria ilikuwa haipo na baada ya bunge kumalizika kuna sheria zimekuwa na mabadiliko.Kikubwa sheria ya Forodha ni ya Afrika Mashariki siyo ya Tanzania pekee , huwa nchi wanachama wanakubaliana. Cha msingi tuangalie pia bei za masoko zipoje sababu kama zipo juu basi hata kodi inaweza kuwa juu, exchange rate pia ,garama za usafirishaji pamoja na bima. Kwa sasa garama za usafirishaji zimepanda duniani kutokana na kinachoendelea huko kwa wenzetu Mashariki mwa Ulaya kulikopelekea kila kitu kupanda bei.
 
Kuna Chevrolet Corvette ya 2012 tumeichek Ushuru hapa. Dah hii nchi bado sana.

View attachment 2744134
Nimeona hili dude nilifatilie maana nimeona kuna hiki kumbe hizi gari zina bei
gari 2.jpg
 
Nimeona hili dude nilifatilie maana nimeona kuna hiki kumbe hizi gari zina beiView attachment 2745779
Bro, sasa iyo ni C6 bro ya 2012. Kuna generation ya C7 ya 2014 hadi 2019 bro.

1000123173.jpg


Hafu inakuja C8 ambayo ndio ya 2020 hadi sahivi.

1000123172.jpg

Hatuna hela ila kuna vi sport cars vizuri aisee.

Kuna vidude vingine ambavyo affordable kidogo ni ushirikiano wa Toyota na Subaru wakaleta Subaru BRZ aka Toyota 86.

1000123174.jpg

Hii angalau kidogo sio ya moto bro. Sema vile vile ushuru wa motoooo.
 
Nashukuru jamiiforum sasa mmetupa fursa ya kuweza kuona picha tena!
 
Kwa Toyota IST ya mwaka 2005 yenye CIF value 3,867$ (USD)

Burundi
italipiwa kodi - BIF 2,872,440 sawa na TZS 3,245,857.2
Kwa Tanzania gari hiyo kodi yake ni TZS 6,188,420.78

Tofauti ya kodi ni TZS 2,942,563.58 karibu shilingi milioni 3 na ilhali wanapitisha gari kwa bandari yetu
Ndio maana tuliambiwa twende Burundi.
 
Back
Top Bottom