TRA Wamepandisha kodi kwa magari yanayoingizwa nchini

TRA Wamepandisha kodi kwa magari yanayoingizwa nchini

Ongezeko x3 2012
Screenshot_20230104-190447.jpg
Screenshot_20230105-204917.jpg
 
Ttzo mnaagiza magari mazee na sasa iv mpango wa serikal ni kupunguza gari nzee
Ebu ingia ktk kikokotoo cha TRA angalia gari za mwaka 2017 na kuendelea utaona km izo galama yake imeongezeka

Galama imepanda kwa gari nzee ambazo ndo wabongo weng hununua gar za 2000’s to2012
Umetazama kodi ya hayo magari mapya?!
 
Hapa ndo mnapokosea. Hawapandishi bei. Ila kila new year inapanda automatically kutokana na age kuongezeka kwenye excise duty due to age. Kama ulichungulia december 2022 gari ya 2010 ilikuwa na miaka 12, ikifika jan 2023 itakuwa na 13 years so excise duty to age itapanda pia and that means cif yote inapanda. Ila ni automatic process sio kuwa wanapandisha makusudi
Wewe ule mkeka wa TRA huwa unaukagua vizuri ndugu au ndio unabahatisha taarifa hapa?!
 
kodi imepanda kweli bus saivi linatolewa kwa mil 150 na wakati ilikuwa mil 90 hadi 110
Ohoo! Nikadhani wamepandisha haya magari madogo tu ya kifamilia ili tusinunue magari, kumbe wamepandisha hadi mabasi, maana yake wasafiri waendelee kuhangaika na mabasi yaliyopo!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Moja kwa moja kutoka mjini twita, nimechukua kama ilivyo
View attachment 2470553


Cif
View attachment 2470554

BAndari kama bandari
View attachment 2470556
kiongozi nimeulizia kwa wadau wanasema hii bei hii umeweka ya ununuzi na usafirishaji bila kuweka bima maana wanakokotoa kwenye bei ya ununuzi ,usafirishaji na bima yaani sijui CIF. pia wanasema hili gari ni zaidi ya miaka nane toka kutengenezwa kwake hapo ukiagalia kuna kodi kutokana na uchakavu.
 
kiongozi nimeulizia kwa wadau wanasema hii bei hii umeweka ya ununuzi na usafirishaji bila kuweka bima maana wanakokotoa kwenye bei ya ununuzi ,usafirishaji na bima yaani sijui CIF. pia wanasema hili gari ni zaidi ya miaka nane toka kutengenezwa kwake hapo ukiagalia kuna kodi kutokana na uchakavu.
Mzigo upo sawa sawia huo mzee waambie wacheki vizuri
 
Range Rover SUV Autobiography ya 2015
CIF dar es salaam milion 60
Ushuru + registration milion 120 do you think is fair ..??
Do you think is fair while you are working out taxes for Range Rover SUV 2015 others are working out as to walk or to spend his 500 shillings on dala dala?
 
Range Rover SUV Autobiography ya 2015
CIF dar es salaam milion 60
Ushuru + registration milion 120 do you think is fair ..??
Duuh aisee gari kodi 120m tena suv sio kiwanda kwamba inazalisha hiyo gari yenyewe ya muda mrefu 2015 daah Nchi ngumu sana hii..
 
Kwa hiyo kodi inaenda kuizidi CIF?

Hivi hizi nchi zinazotuzunguka kodi ya gari ipoje?

ITs za Rwanda zinakuwaga misumari kwelikweli.
Kwa Toyota IST ya mwaka 2005 yenye CIF value 3,867$ (USD)

Burundi
italipiwa kodi - BIF 2,872,440 sawa na TZS 3,245,857.2
Kwa Tanzania gari hiyo kodi yake ni TZS 6,188,420.78

Tofauti ya kodi ni TZS 2,942,563.58 karibu shilingi milioni 3 na ilhali wanapitisha gari kwa bandari yetu
 
Back
Top Bottom