TRA wapo sahihi kabisa kupuuza maagizo hewa ya wanasiasa! Serikali inafanya kazi kwa maandishi

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Ni aibu kubwa sana ukiisikiliza speech ya waziri mkuu!

Ni kweli viongozi wakuu waheshimiwe lakini kauli tupu pasipo maandishi ni usanii mtupu!

Wahenga waliwahi kusema "government work on paper "

Maagizo bubu ya midomo kama hayo tuliyasikia kwenye shirika la umeme kwamba Nguzo za umeme ni bure lakini wananchi tulilipia!

Maagizo hayo bubu tumeyasikia sana pia kwenye huduma za afya kwamba hakuna mwananchi atakaekosa dawa katika hospital na vituo vya afya vya serikali lakini wapi!
Kwamba hakuna mwananchi ndugu wa marehem atakayenyimwa mwili wa mpendwa wake kwa kukosa kulipa pesa anayodaiwa hospitali lakini wapi!

Sielewi Kuna ugumu gani kwa serikali kupitia kwa makatibu wake wakuu wa wizara kushindwa kuandika barua za maelekezo kwa wakurugenzi wa idara husika punde tu viongozi wakubwa wanapotoa maagizo?

Kama maagizo ni ya dhati kwanini tuwalaumu watendaji kwa kuomba barua? Makatibu wakuu wa wizara wanafanya kazi ganj?

Mtendaji asipooomba barua hiyo ya maelekezo katika utekelezaji hamchelewi kumtumbua kesho na kumgeuka kwamba pesa za umma zimepotea!

Kinachofanyika kariakoo na kwingine kupitia maelekezo ya viongozi ni viini macho!

Kama tamko la viongoI ni amri kwanini asilaumiwe katibu mkuu wizara kwa kutotoa barua hiyo ya maelekezo?
 
Tena mengine wanayoyatekeleza yamepitishwa na bunge na PM ndio kiongozi mkuu wa shughuli za serikali bungeni.Pumbavu PM mbona uwezo wake mdogo hivi.
 
Ni aibu kubwa sana ukiisikiliza speech ya waziri mkuu!

Ni kweli viongozi wakuu waheshimiwe lakini kauli tupu pasipo maandishi ni usanii mtupu!

Wahenga waliwahi kusema "government work on paper "

Maagizo bubu ya midomo kama hayo tuliyasikia kwenye shirika la umeme kwamba Nguzo za umeme ni bure lakini wananchi tulilipia!

Maagizo hayo bubu tumeyasikia sana pia kwenye huduma za afya kwamba hakuna mwananchi atakaekosa dawa katika hospital na vituo vya afya vya serikali lakini wapi!
Kwamba hakuna mwananchi ndugu wa marehem atakayenyimwa mwili wa mpendwa wake kwa kukosa kulipa pesa anayodaiwa hospitali lakini wapi!

Sielewi Kuna ugumu gani kwa serikali kupitia kwa makatibu wake wakuu wa wizara kushindwa kuandika barua za maelekezo kwa wakurugenzi wa idara husika punde tu viongozi wakubwa wanapotoa maagizo?

Kama maagizo ni ya dhati kwanini tuwalaumu watendaji kwa kuomba barua? Makatibu wakuu wa wizara wanafanya kazi ganj?

Mtendaji asipooomba barua hiyo ya maelekezo katika utekelezaji hamchelewi kumtumbua kesho na kumgeuka kwamba pesa za umma zimepotea!

Kinachofanyika kariakoo na kwingine kupitia maelekezo ya viongozi ni viini macho!

Kama tamko la viongoI ni amri kwanini asilaumiwe katibu mkuu wizara kwa kutotoa barua hiyo ya maelekezo?
Wakiwa majukwaani wanaropoka tu Vyeti feki walipwe, Waliofukuzwa kazi warejeshwe, Kodi za miaka ya nyuma TRA waache kudai je sheria zinasema je ?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Ukiniwekea CCM na UKIMWI nitachagua UKIMWI
Unaujua ukimwi lakini mkuu ...hilo balaa lisikie tu! Wanaokula punje kila siku wana mzigo mkubwa sana mkuu ambao hauwezi linganishwa na chochote! Nakushauri futa kauli
 
Ni aibu kubwa sana ukiisikiliza speech ya waziri mkuu!

Ni kweli viongozi wakuu waheshimiwe lakini kauli tupu pasipo maandishi ni usanii mtupu!

Wahenga waliwahi kusema "government work on paper "

Maagizo bubu ya midomo kama hayo tuliyasikia kwenye shirika la umeme kwamba Nguzo za umeme ni bure lakini wananchi tulilipia!

Maagizo hayo bubu tumeyasikia sana pia kwenye huduma za afya kwamba hakuna mwananchi atakaekosa dawa katika hospital na vituo vya afya vya serikali lakini wapi!
Kwamba hakuna mwananchi ndugu wa marehem atakayenyimwa mwili wa mpendwa wake kwa kukosa kulipa pesa anayodaiwa hospitali lakini wapi!

Sielewi Kuna ugumu gani kwa serikali kupitia kwa makatibu wake wakuu wa wizara kushindwa kuandika barua za maelekezo kwa wakurugenzi wa idara husika punde tu viongozi wakubwa wanapotoa maagizo?

Kama maagizo ni ya dhati kwanini tuwalaumu watendaji kwa kuomba barua? Makatibu wakuu wa wizara wanafanya kazi ganj?

Mtendaji asipooomba barua hiyo ya maelekezo katika utekelezaji hamchelewi kumtumbua kesho na kumgeuka kwamba pesa za umma zimepotea!

Kinachofanyika kariakoo na kwingine kupitia maelekezo ya viongozi ni viini macho!

Kama tamko la viongoI ni amri kwanini asilaumiwe katibu mkuu wizara kwa kutotoa barua hiyo ya maelekezo?
Viongozi wetu ni hovyo na wavivu wakubwa! Wanataka kila wanachoongea majukwaani kiwe sheria kwa wananchi.
 
Wote tunajua wafanyabiashara hawana lalamiko lolote la msingi, wamebanwa kwenye kodi wameamua leta mgomo.

Waziri mkuu kayasema hayo yote ili wafungue maduka biashara ziendelee, ila deep kabisa migogoro mingi hapo inaletwa na wafanyabiashara wenyewe kwa kutaka kwepa kodi.

Solution ni moja tu. Ifike wakati serikali ishushe kodi ili wafanya biashara walipe kwaa hiari, serikali itakusanya zaidi na hapo ndio Tanzania itageuka kuwa hub ya biashara East Africa.
 
Tatizo bongo ni matumizi mabaya ya kodi lakini kodi tunazolipa zinatosha
 
Ni aibu kubwa sana ukiisikiliza speech ya waziri mkuu!

Ni kweli viongozi wakuu waheshimiwe lakini kauli tupu pasipo maandishi ni usanii mtupu!

Wahenga waliwahi kusema "government work on paper "

Maagizo bubu ya midomo kama hayo tuliyasikia kwenye shirika la umeme kwamba Nguzo za umeme ni bure lakini wananchi tulilipia!

Maagizo hayo bubu tumeyasikia sana pia kwenye huduma za afya kwamba hakuna mwananchi atakaekosa dawa katika hospital na vituo vya afya vya serikali lakini wapi!
Kwamba hakuna mwananchi ndugu wa marehem atakayenyimwa mwili wa mpendwa wake kwa kukosa kulipa pesa anayodaiwa hospitali lakini wapi!

Sielewi Kuna ugumu gani kwa serikali kupitia kwa makatibu wake wakuu wa wizara kushindwa kuandika barua za maelekezo kwa wakurugenzi wa idara husika punde tu viongozi wakubwa wanapotoa maagizo?

Kama maagizo ni ya dhati kwanini tuwalaumu watendaji kwa kuomba barua? Makatibu wakuu wa wizara wanafanya kazi ganj?

Mtendaji asipooomba barua hiyo ya maelekezo katika utekelezaji hamchelewi kumtumbua kesho na kumgeuka kwamba pesa za umma zimepotea!

Kinachofanyika kariakoo na kwingine kupitia maelekezo ya viongozi ni viini macho!

Kama tamko la viongoI ni amri kwanini asilaumiwe katibu mkuu wizara kwa kutotoa barua hiyo ya maelekezo?
Uko sahihi. Ndio maana nilishasema Mama alitakiwa ateue Waziri Mkuu mpya kwenye awamu yake, labda ni shinikizo ndani ya Chama.
 
Wakiwa majukwaani wanaropoka tu Vyeti feki walipwe, Waliofukuzwa kazi warejeshwe, Kodi za miaka ya nyuma TRA waache kudai je sheria zinasema je ?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Rais haropoki Wewe!

Rais ndio mwenye Nchi na anachosema ndio Sheria achana na notes notes

sasa hivi Trump ana kesi ya kubaka ya 1990 na tayari amekutwa na hatia wakati huwezi kuwa Rais Marekani bila ya kufanyia verting kubwa sana

unadhani ni Sheria au maelekezo ya Biden?
 
Ya
Viongozi wetu ni hovyo na wavivu wakubwa! Wanataka kila wanachoongea majukwaani kiwe sheria kwa wananchi.
Yaani nchi ya viongozi kutoa Maagizo bila backup yoyote ya kisheria, halafu kutegemea kitu kifanyike Kwa watu ....kisheria naona ni kuonea watu tu....... mambo siku zote yaendee kisheria na sio Maagizo ya kisiasa.....
 
Hakika ndiyo maana hayatekelezeki
 
Rais haropoki Wewe!

Rais ndio mwenye Nchi na anachosema ndio Sheria achana na notes notes

sasa hivi Trump ana kesi ya kubaka ya 1990 na tayari amekutwa na hatia wakati huwezi kuwa Rais Marekani bila ya kufanyia verting kubwa sana

unadhani ni Sheria au maelekezo ya Biden?
Kwaiyo Raisi siku moja akiropa Wananchi wote wa mkoa wa Dodoma wafungwe jela ina maana itakuwa sheria tayari?

Back
Top Bottom