Ni aibu kubwa sana ukiisikiliza speech ya waziri mkuu!
Ni kweli viongozi wakuu waheshimiwe lakini kauli tupu pasipo maandishi ni usanii mtupu!
Wahenga waliwahi kusema "government work on paper "
Maagizo bubu ya midomo kama hayo tuliyasikia kwenye shirika la umeme kwamba Nguzo za umeme ni bure lakini wananchi tulilipia!
Maagizo hayo bubu tumeyasikia sana pia kwenye huduma za afya kwamba hakuna mwananchi atakaekosa dawa katika hospital na vituo vya afya vya serikali lakini wapi!
Kwamba hakuna mwananchi ndugu wa marehem atakayenyimwa mwili wa mpendwa wake kwa kukosa kulipa pesa anayodaiwa hospitali lakini wapi!
Sielewi Kuna ugumu gani kwa serikali kupitia kwa makatibu wake wakuu wa wizara kushindwa kuandika barua za maelekezo kwa wakurugenzi wa idara husika punde tu viongozi wakubwa wanapotoa maagizo?
Kama maagizo ni ya dhati kwanini tuwalaumu watendaji kwa kuomba barua? Makatibu wakuu wa wizara wanafanya kazi ganj?
Mtendaji asipooomba barua hiyo ya maelekezo katika utekelezaji hamchelewi kumtumbua kesho na kumgeuka kwamba pesa za umma zimepotea!
Kinachofanyika kariakoo na kwingine kupitia maelekezo ya viongozi ni viini macho!
Kama tamko la viongoI ni amri kwanini asilaumiwe katibu mkuu wizara kwa kutotoa barua hiyo ya maelekezo?