Wafanye hivi wataiba wapi?Napendekeza TRA waweke mfumo wa wazi ili watu waweze kutizama Taarifa za usajili wa gari, piki piki au bajaj ili kujia mmiliki halali ni nani
Mnaficha kitu gani kuweka mfumo huo kuwa huru? Mbona ni jambo ambalo linawezekana na ni jepesi tu
Hili litasaidia sana kuzuia watu kutengeneza kadi feki kwa sababu mtu akitaka kununua chombo cha moto anaingia kwanza kwenye mfumo nankutizama umiloko halali wa chombo hicho taarifa ambazo zitakuwa zimeunganishwa na NIDA na picha ya mmiliki.
Kadi zinatakiwa zibadilishwe zote ziwe mupya kabisa app aitosaidia cause chain ya fraud ya hizi kadi ni kubwa ukiondoa wizi pia kuna kilio kikubwa kwenye banks na kampuni za kukopesha. Bank wanabak na kadi mtu mtaani anatengeneza kadi fake anauza gari/pikipiki iliyowekwa kama dhamana ya mkopo system nzima ya hizi kadi inatakiwa ibadilike.Ziwe za kidigital with biometric features za mmiliki na picha yake na info za NIDA yake ndani ya write protected Chip Card- Hapo ndo Tatizo litaisha for good na pia kwenye gari na pikipiki wanazibandika digital copy ya chombo usika, TRA officers na Police wanakuwa na app kwenye simu zao! Za kuscan chombo cha moto live na kujua umiliki wake hapo kwa hapo na hii digital copy ukiitoa tu ina haribika hapo hapo na kuibandika tena aiwezekani milele. Wizi wa vyombo vya moto utakoma completelyNapendekeza TRA waweke mfumo wa wazi ili watu waweze kutizama Taarifa za usajili wa gari, piki piki au bajaj ili kujia mmiliki halali ni nani
Mnaficha kitu gani kuweka mfumo huo kuwa huru? Mbona ni jambo ambalo linawezekana na ni jepesi tu
Hili litasaidia sana kuzuia watu kutengeneza kadi feki kwa sababu mtu akitaka kununua chombo cha moto anaingia kwanza kwenye mfumo nankutizama umiloko halali wa chombo hicho taarifa ambazo zitakuwa zimeunganishwa na NIDA na picha ya mmiliki.
Nakubaliana na wewe 100%.Mfano magari yanayouzwa na makampuni ya Bima baada ya kupata ajali maeneo kama ya Tandale Chasis number zake na Registrations plate Numbers zinauzwa tena na kubandikwa kwenye gari za wizi na zinazotoka nje(zisizolipiwa kodi) na zinatembea hapa nchini bila TRA kudeal nazo! Ni ajabu unakuta V8 hapa Tanzania ina namba B. (Gari iliyotengenezwa 2010 na kuendelea- ina plate number iliyotolewa 2005😁 Tatizo ni kubwa sana! Kuna madogo nawajua kazi yao ni kununua hizo chassis no za magari yaliopata ajali (wenyewe wanaita Vibati) na kuuza kwa wenye magari ya wizi na yasiolipiwa kodiUnajua sisi wabongo tunajitengenezea wenyewe vizingiti.Ujanja ujanja unatuponza sana. Unauziwa kiwanja na kuna mtu mwingine kashauziwa hapo hapo hati hiyo imekopea benki na kiwanja chenyewe kipo kwenye eneo la hifadhi. Magari ndiyo usiseme unakuta wamekata chassis wanabandika namba ya gari kama hilo.Acha tu tupigwe pini maana forge zimezidi hatuoneani huruma mtu umehangaika kutafuta visenti angalau nawe uwe hata na IST yako unakumbana na jinga moja linakupigia fake. Na hapo kumbuka ndiyo kuna taarifa zimefichwa sasa ngoja zikiwa wazi sijui itakuwaje. kingine unanunu gari kumbe wewe ni mtu wa nne toka mmiliki wa kwanza kuliuza hapo chain nzima hawajabadili jina daaa
Ingekuwa na tija kwa mtoa mada na wengine pia endapo ungetuwekea hiyo njia ili tuwe na taarifa piambona vyote hvyo vipo ndugu sema tu huna taarifa
Unanunuaje gari bila kwenda TRA kubadili Jima eti kadi Feki mna agenda ya siriWanaficha kwakuwa wananufaika....upigaji nchi hii nikama sera
Wakileta card za ki electronic itakuwa nzuri piaKadi zinatakiwa zibadilishwe zote ziwe mupya kabisa app aitosaidia cause chain ya fraud ya hizi kadi ni kubwa ukiondoa wizi pia kuna kilio kikubwa kwenye banks na kampuni za kukopesha. Bank wanabak na kadi mtu mtaani anatengeneza kadi fake anauza gari/pikipiki iliyowekwa kama dhamana ya mkopo system nzima ya hizi kadi inatakiwa ibadilike.Ziwe za kidigital with biometric features za mmiliki na picha yake na info za NIDA yake ndani ya write protected Chip Card- Hapo ndo Tatizo litaisha for good na pia kwenye gari na pikipiki wanazibandika digital copy ya chombo usika, TRA officers na Police wanakuwa na app kwenye simu zao! Za kuscan chombo cha moto live na kujua umiliki wake hapo kwa hapo na hii digital copy ukiitoa tu ina haribika hapo hapo na kuibandika tena aiwezekani milele. Wizi wa vyombo vya moto utakoma completely
View attachment 2172540
View attachment 2172541
View attachment 2172542
View attachment 2172543
View attachment 2172544
Ukitaka kuuza gari kama scraper nenda TRA ukafute usajili wa hilo gari kwanzaMagari yaliopata ajali una muuzia mtu kama scrp za kufungua spare a naomba na file,na anafanya transfer kwenye jina lake keso unaonana na gari kama ile mpya utamkamata inakuhusu nini nakwambia nimeyengeneza
Tanzania kuna mambo mengi sana ya kipumbavu watu hawataki kubadirika kwa vitu vingi sana bado wamekumbatia mambo ya kizamani kwa sababu tu ya rushwaKwanz kadi ya gari ya Bongo inaboA sana. Likadi likubwa kama chapati ya maji. Zanzibar tu hapo kadi ya gari nzuri na ndogo kama kadi ya ATM. So disgusting [emoji25]
Poa mkuu, za kwakoMkuu Cardless mambo vp?
Nipo boss.Poa mkuu, za kwako