TRA wekeni mfumo wa wazi au App ya kuangalia taarifa za usajili na ulimiki wa Vyombo vya Moto ili kuepusha hizi kadi feki

TRA wekeni mfumo wa wazi au App ya kuangalia taarifa za usajili na ulimiki wa Vyombo vya Moto ili kuepusha hizi kadi feki

Sijui mimi ni mshamba! Ila nimepanga nikitaka kununua gari kwa mtu awe dalali au mmiliki! Ni lazima twende polisi tukamwone VEKO alikague hilo gari na ajaze ile inspection report kwamba gari ni salama na siyo la wizi.

Tukitoka polisi tutaenda TRA na kubadilisha kadi. Huko TRA kuna mkaguzi atalikagua kabla ya kubadilisha kadi

Dalali au mmiliki akikataa hizi taratibu, basi sintonunua hilo gari hata liwe zuri vipi kwa bei nafuu!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Napendekeza TRA waweke mfumo wa wazi ili watu waweze kutizama Taarifa za usajili wa gari, piki piki au bajaj ili kujia mmiliki halali ni nani

Mnaficha kitu gani kuweka mfumo huo kuwa huru? Mbona ni jambo ambalo linawezekana na ni jepesi tu

Hili litasaidia sana kuzuia watu kutengeneza kadi feki kwa sababu mtu akitaka kununua chombo cha moto anaingia kwanza kwenye mfumo nankutizama umiloko halali wa chombo hicho taarifa ambazo zitakuwa zimeunganishwa na NIDA na picha ya mmiliki.
Wafanye hivi wataiba wapi?
 
Waliondoa baada ya kile kipindi yule RC mzee wa Division 0 kujulikana amejilimbikizia gari nyingi kwa janjajanja.
 
Napendekeza TRA waweke mfumo wa wazi ili watu waweze kutizama Taarifa za usajili wa gari, piki piki au bajaj ili kujia mmiliki halali ni nani

Mnaficha kitu gani kuweka mfumo huo kuwa huru? Mbona ni jambo ambalo linawezekana na ni jepesi tu

Hili litasaidia sana kuzuia watu kutengeneza kadi feki kwa sababu mtu akitaka kununua chombo cha moto anaingia kwanza kwenye mfumo nankutizama umiloko halali wa chombo hicho taarifa ambazo zitakuwa zimeunganishwa na NIDA na picha ya mmiliki.
Kadi zinatakiwa zibadilishwe zote ziwe mupya kabisa app aitosaidia cause chain ya fraud ya hizi kadi ni kubwa ukiondoa wizi pia kuna kilio kikubwa kwenye banks na kampuni za kukopesha. Bank wanabak na kadi mtu mtaani anatengeneza kadi fake anauza gari/pikipiki iliyowekwa kama dhamana ya mkopo system nzima ya hizi kadi inatakiwa ibadilike.Ziwe za kidigital with biometric features za mmiliki na picha yake na info za NIDA yake ndani ya write protected Chip Card- Hapo ndo Tatizo litaisha for good na pia kwenye gari na pikipiki wanazibandika digital copy ya chombo usika, TRA officers na Police wanakuwa na app kwenye simu zao! Za kuscan chombo cha moto live na kujua umiliki wake hapo kwa hapo na hii digital copy ukiitoa tu ina haribika hapo hapo na kuibandika tena aiwezekani milele. Wizi wa vyombo vya moto utakoma completely

C8F67C08-6FFC-4E32-8D4A-59A198D63E31.jpeg

2C9B352E-C129-4C54-BD47-32D5B50AAEA1.jpeg

E9B37E79-5B8C-4385-87B1-536060E2C86E.jpeg

02EF64ED-57D7-4962-B645-CCCA6E83393A.jpeg

85937C03-BB04-457C-AADE-394AB60CF567.jpeg
 
Unajua sisi wabongo tunajitengenezea wenyewe vizingiti.Ujanja ujanja unatuponza sana. Unauziwa kiwanja na kuna mtu mwingine kashauziwa hapo hapo hati hiyo imekopea benki na kiwanja chenyewe kipo kwenye eneo la hifadhi. Magari ndiyo usiseme unakuta wamekata chassis wanabandika namba ya gari kama hilo.Acha tu tupigwe pini maana forge zimezidi hatuoneani huruma mtu umehangaika kutafuta visenti angalau nawe uwe hata na IST yako unakumbana na jinga moja linakupigia fake. Na hapo kumbuka ndiyo kuna taarifa zimefichwa sasa ngoja zikiwa wazi sijui itakuwaje. kingine unanunu gari kumbe wewe ni mtu wa nne toka mmiliki wa kwanza kuliuza hapo chain nzima hawajabadili jina daaa
Nakubaliana na wewe 100%.Mfano magari yanayouzwa na makampuni ya Bima baada ya kupata ajali maeneo kama ya Tandale Chasis number zake na Registrations plate Numbers zinauzwa tena na kubandikwa kwenye gari za wizi na zinazotoka nje(zisizolipiwa kodi) na zinatembea hapa nchini bila TRA kudeal nazo! Ni ajabu unakuta V8 hapa Tanzania ina namba B. (Gari iliyotengenezwa 2010 na kuendelea- ina plate number iliyotolewa 2005😁 Tatizo ni kubwa sana! Kuna madogo nawajua kazi yao ni kununua hizo chassis no za magari yaliopata ajali (wenyewe wanaita Vibati) na kuuza kwa wenye magari ya wizi na yasiolipiwa kodi
 
Wanaficha kwakuwa wananufaika....upigaji nchi hii nikama sera
Unanunuaje gari bila kwenda TRA kubadili Jima eti kadi Feki mna agenda ya siri

Gari ukinunua lazima mwende TRA kubadili jina wao wana taarifa zote .Huwezi kununua gari kienjyeji uchochoroni halafu unapewa kadi uchochoroni kuwa hii hapa

Kwa nini hamuendi TRA ? Majambazi nyinyi
 
Magari yaliopata ajali una muuzia mtu kama scrp za kufungua spare a naomba na file,na anafanya transfer kwenye jina lake keso unaonana na gari kama ile mpya utamkamata inakuhusu nini nakwambia nimeyengeneza
 
ukinunua gari mwende TRA kubadili mumiliki mlipe kodi stahiki za ku transfer uwe na uhakika wa kila kitu

Usikubi.kuuziwa uchochoroni na kuletewa kinachoitwa kadi ya gari uchochoroni hasa ukinunua kwa mtu binafsi mtaani
 
Kadi zinatakiwa zibadilishwe zote ziwe mupya kabisa app aitosaidia cause chain ya fraud ya hizi kadi ni kubwa ukiondoa wizi pia kuna kilio kikubwa kwenye banks na kampuni za kukopesha. Bank wanabak na kadi mtu mtaani anatengeneza kadi fake anauza gari/pikipiki iliyowekwa kama dhamana ya mkopo system nzima ya hizi kadi inatakiwa ibadilike.Ziwe za kidigital with biometric features za mmiliki na picha yake na info za NIDA yake ndani ya write protected Chip Card- Hapo ndo Tatizo litaisha for good na pia kwenye gari na pikipiki wanazibandika digital copy ya chombo usika, TRA officers na Police wanakuwa na app kwenye simu zao! Za kuscan chombo cha moto live na kujua umiliki wake hapo kwa hapo na hii digital copy ukiitoa tu ina haribika hapo hapo na kuibandika tena aiwezekani milele. Wizi wa vyombo vya moto utakoma completely

View attachment 2172540

View attachment 2172541

View attachment 2172542

View attachment 2172543

View attachment 2172544
Wakileta card za ki electronic itakuwa nzuri pia
 
Kwanz kadi ya gari ya Bongo inaboA sana. Likadi likubwa kama chapati ya maji. Zanzibar tu hapo kadi ya gari nzuri na ndogo kama kadi ya ATM. So disgusting [emoji25]
 
Magari yaliopata ajali una muuzia mtu kama scrp za kufungua spare a naomba na file,na anafanya transfer kwenye jina lake keso unaonana na gari kama ile mpya utamkamata inakuhusu nini nakwambia nimeyengeneza
Ukitaka kuuza gari kama scraper nenda TRA ukafute usajili wa hilo gari kwanza
 
Nakumbuka kama huu mfumo upo na kuna wakati ulikuwa wazi kwa public. Kuna wakati fulani gari moja ya mwanajamii mmoja aliyedai yake waswahili wakacheki kwenye mfumo ikaonekana sivyo....hekaheka ikawa kuubwa....sijui ndio mfumo ukagoma baada yà hapo......mmh nitakuwa naota sijui...
 
Kwanz kadi ya gari ya Bongo inaboA sana. Likadi likubwa kama chapati ya maji. Zanzibar tu hapo kadi ya gari nzuri na ndogo kama kadi ya ATM. So disgusting [emoji25]
Tanzania kuna mambo mengi sana ya kipumbavu watu hawataki kubadirika kwa vitu vingi sana bado wamekumbatia mambo ya kizamani kwa sababu tu ya rushwa
 
Back
Top Bottom