Sijui mimi ni mshamba! Ila nimepanga nikitaka kununua gari kwa mtu awe dalali au mmiliki! Ni lazima twende polisi tukamwone VEKO alikague hilo gari na ajaze ile inspection report kwamba gari ni salama na siyo la wizi.
Tukitoka polisi tutaenda TRA na kubadilisha kadi. Huko TRA kuna mkaguzi atalikagua kabla ya kubadilisha kadi
Dalali au mmiliki akikataa hizi taratibu, basi sintonunua hilo gari hata liwe zuri vipi kwa bei nafuu!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app