Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Hata mimi hili la kusema eti " Waturuki walikuwa wanasubilia mkopo kutoka Benki za ndani" umenishangaza sana ina maana Waturuki wanakuja TanzaniaNa wasiporudi hao Waturuki itakuwaje?
READ! Taarifa inasema Waturuki wamekosa mkopo wa benki za ndani
Maana yake hawakuja na mtaji!
Ndio haya Marehemu Mengi alikuwa anayasema wakati ana bifu na Wahindi, walikuwa wanamwambia tumekuja na briefcase la makaratasi ya business plan za kutajirikia hapa hapa kwenu! Yani sisi ni vichwa panzi.
Magufuli fukuza hao Waturuki!
Thank God Almighty tumepata kichaa mzalendo Ikulu hapapatikii wazungu, hafagilii wageni!
ALHAMDULLILAH ALA KULLI HAAAL
HADHA MIN FADLI RABBI