Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Whatever the case, WALIVAMIA!Kwanini umetumia neno kuvamia? Unajua maana ya kuvamia?
Na hilo ndio swali...kwanini ulipe kodi wakati hujaanza kufanya biashara?Si bado upo ndan ya quarter? Sheria ndo inakutaka hivo. Kuepuka hayo nenda mwakani 1/1/2021
Hahaha ccm ichafuliwe?! Yani kweli nchi hii inavituko, ccm ichafuliwe na nani tena?!Walipe nini? Wamefanya biashara ipi? Acheni kuichafua CCM kwa kulazimisha wizi wa kudai kodi hewa
Na hilo ndio swali...kwanini ulipe kodi wakati hujaanza kufanya biashara?
Inawezekana kabisa kuwa wewe huelewi global business operations and financing. Biashara ya bank ni credit creation (kutoa mikopo) no matter kwa mwenyeji au mgeni. Sasa iwapo wenyeji hawakopi kwa ajili ya ku-reifnorce banks' credit creation mabenki yakubali kufa kibiashara badala ya kufanya biashara na wageni wanaochangia kukua kwa biashara za kibenki!?Na wasiporudi hao Waturuki itakuwaje?
READ! Taarifa inasema Waturuki wamekosa mkopo wa benki za ndani
Maana yake hawakuja na mtaji!
Ndio haya Marehemu Mengi alikuwa anayasema wakati ana bifu na Wahindi, walikuwa wanamwambia tumekuja na briefcase la makaratasi ya business plan za kutajirikia hapa hapa kwenu! Yani sisi ni vichwa panzi.
Magufuli fukuza hao Waturuki!
Thank God Almighty tumepata kichaa mzalendo Ikulu hapapatikii wazungu, hafagilii wageni!
ALHAMDULLILAH ALA KULLI HAAAL HADHA MIN FADLI RABBI
Una maana mkurugenzi wa TRA ndiyo huwatuma wafanyakazi wake kufanya hayo wanayoyafanyaKwanza hakuna serikali ya kupeleka huo muswaada bungeni
Masanaki yupo wapi?TRA ni janga
Kwa kubariki vitendo vya TRA kusumbua wafanyabiashara kuchukua HongoHahaha ccm ichafuliwe?! Yani kweli nchi hii inavituko, ccm ichafuliwe na nani tena?!
Wanasaka Hongo kwa nguvuNa hilo ndio swali...kwanini ulipe kodi wakati hujaanza kufanya biashara?
Hahaha ccm ni rushwa na rushwa ni ccm, hii ni serikali ya ccm. Taasisi zote za serikali ni mali za ccm, na yote wafanyayo ni ya ki ccm, sasa nani anaweza kuichafua ccm tena?!Kwa kubariki vitendo vya TRA kusumbua wafanyabiashara kuchukua Hongo
Kubariki TRA ifanye dhuluma na wafanyakazi wake kudai Hongo kwa wafanyabiashara ni ccm inachafuka hapoHahaha ccm ni rushwa na rushwa ni ccm, hii ni serikali ya ccm. Taasisi zote za serikali ni mali za ccm, na yote wafanyayo ni ya ki ccm, sasa nani anaweza kuichafua ccm tena?!
Hahaha ccm ni rushwa na rushwa ni ccm , na hii ni serikali ya ccm, TRA ni mali ya ccm wanatekeleza ya ccm, hapo hakuna wa kuichafua ccm.Kubariki TRA ifanye dhuluma na wafanyakazi wake kudai Hongo kwa wafanyabiashara ni ccm inachafuka hapo
Wewe ni mjinga hasa. Mwekezaji anapokuja hapa au kwenda nchi yoyote, kwa upeo wako mdogo unataka awe na hela mfukoni? Watanzania bado sana!!
Biashara kubwa zote zinatumia pesa ya mabenki, yanaweza kuwa ya nje au ya ndani, au yote, ya nje na ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app
TIN unaomba uhamisho ndyo.Na TIN pia ni ya kuombea uhamisho kwanini sasa, wakati mtu ukiwa na TIN unaonekana kwenye system.
Kwa iyo kuwa local bank ndo inamaanisha kuwa hafanyi biashara na wawekezaji?? Una elimu gani we mtu?Unajua maana ya Local Bank? Yaani unsye muita muwekezaji aje mikono mitupu ategemee mkopo toka Local Bank? Hakuna haja ya kuwa na Kituo cha Uwekezaji.