Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Kwanza hakuna serikali ya kupeleka huo muswaada bungeniHiyo Tax payer bill huko Bungeni wataenda kuijadiri wakina Babu Tale, MwanaFA , kibajaji, Musukuma, n.k
Hahaha hii nchi tamu Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza hakuna serikali ya kupeleka huo muswaada bungeniHiyo Tax payer bill huko Bungeni wataenda kuijadiri wakina Babu Tale, MwanaFA , kibajaji, Musukuma, n.k
Hahaha hii nchi tamu Sana
Kwani wa CCM wanakatazwa kuchangia?Tatizo la jf wachangiaji wengi nawanaopewa kipaumbele ni wachadema.
Hawawezi kuchangia bila kuinguza siasa zao za kisariti.
Hawa waturuki kama hujui walipoanzisha kile kiwanda walienda moja ya bank (sitaitaja) wakakopeshana kwa njia isiyo halali, kwa maana ya viongozi wa bank hyo nao walikula kupitia mgongo huo.
Nadhamana kubwa ilikuwa ni aridhi kwa maana ya kiwanja na mitambo, lakini mitambo wakathaminisha zaidi ya thamani husika.
Wakapiga pesa, bank nayo ikajifia, ndo moja ya bank zilizofutwa.
Kumbuka pesa niza wanahisa naniza seeikali, waturuki wakasepa, ndo serikali inaendelea kung'ata mmoja mmoja.
TRA wako nao wanadai kodi zao. Kosa liko wapi???
Miaka imeongezeka hadi mitano toka mitatuMe bado nawalalamikia TRA kuongeza kodi ya leseni ya udereva toka 40,000 hadi 70,000 (75%). Mtu mzima nimetoka home na elfu 50, nikijua nalipa elfu 40 nabakiwa na hela ya kula, nakutana na bili ya elfu 70. Hivi TRA wanaona kila dereva ni tajiri eenh? Hawajui wengine tunategemea hizo leseni tupate mkate wa siku?
Mnatukamua kila sehemu hadi tutatoka damu badala ya maziwa
Daah mkuu hii una maanisha au jokes. Kwani kuchukua mkopo kutoka mabenki ya ndani ni kosa? Vipi ,kuna mtanzania amefanya hivyo ?Na wasiporudi hao Waturuki itakuwaje?
READ! Taarifa inasema Waturuki wamekosa mkopo wa benki za ndani
Maana yake hawakuja na mtaji!
Ndio haya Marehemu Mengi alikuwa anayasema wakati ana bifu na Wahindi, walikuwa wanamwambia tumekuja na briefcase la makaratasi ya business plan za kutajirikia hapa hapa kwenu! Yani sisi ni vichwa panzi.
Magufuli fukuza hao Waturuki!
Thank God Almighty tumepata kichaa mzalendo Ikulu hapapatikii wazungu, hafagilii wageni!
ALHAMDULLILAH ALA KULLI HAAAL HADHA MIN FADLI RABBI
Kwanini wasisubiri mpaka ufanye biashara.Unaweza au tuseme inawezekana ukalipa kodi kabla ya kufanya biashara kwa kukadiria/ kukisia kuwa faida itafikia kiasi gani mwisho wa mwaka, halafu mwisho wa mwaka mkishafanya mahesabu, ama unalipa palipopungua au wao wanarudisha zilizozidi.
Swali la kwa nini linaashiria shari. Ila ni utaratibu unatumika sana nchi zilizoendelea pia. Binafsi siuchukii, kwa kuwa mara nyingi hurudishiwa kodi niliyolipa ziada.Kwanini wasisubiri mpaka ufanye biashara.
Huoni ukilipa kodi kabla ya biashara hujafanya unapunguza mtaji?
Siyo kweli kwenye kero za TRA hakuna chadema wala CCM wote wanataabika na kero za TRA usiwasingizie uongo waturuki kuharalisha utetezi wako dhidi ya kasoro za watumishi wa TRATatizo la jf wachangiaji wengi nawanaopewa kipaumbele ni wachadema.
Hawawezi kuchangia bila kuinguza siasa zao za kisariti.
Hawa waturuki kama hujui walipoanzisha kile kiwanda walienda moja ya bank (sitaitaja) wakakopeshana kwa njia isiyo halali, kwa maana ya viongozi wa bank hyo nao walikula kupitia mgongo huo.
Nadhamana kubwa ilikuwa ni aridhi kwa maana ya kiwanja na mitambo, lakini mitambo wakathaminisha zaidi ya thamani husika.
Wakapiga pesa, bank nayo ikajifia, ndo moja ya bank zilizofutwa.
Kumbuka pesa niza wanahisa naniza seeikali, waturuki wakasepa, ndo serikali inaendelea kung'ata mmoja mmoja.
TRA wako nao wanadai kodi zao. Kosa liko wapi???
Walipe nini? Wamefanya biashara ipi? Acheni kuichafua CCM kwa kulazimisha wizi wa kudai kodi hewaHahaha walipe tu, kama hawana cha kulipa waondoke, serikali ya ccm hii.
TRA kuna matatizo lakini wapo watu wao humu wameamua kuwatetea bila aibuHawa TRA kuna siku walinitumia msg 4 mfululizo, kisimu changu kidogo kilivibrate hadi kikaanguka. Ila biashara yenyewe nilishafunga kitaambo
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Tangu lini TRA wakarudisha fedha iliyozidi.Unaweza au tuseme inawezekana ukalipa kodi kabla ya kufanya biashara kwa kukadiria/ kukisia kuwa faida itafikia kiasi gani mwisho wa mwaka, halafu mwisho wa mwaka mkishafanya mahesabu, ama unalipa palipopungua au wao wanarudisha zilizozidi.
Hiyo faida kubwa inakusaidia nini wewe mnyonge unayewekewa riba kubwa, akili ndogo ni shida..Wewe hujui wakikopa kwenye Bank zetu, bank zinafanya biashara kubwa na kuingiza faida kubwa???
Hivi CCM kuwa kilaza na sifa ya kujiunga na CCM??
Unajua maana ya Local Bank? Yaani unsye muita muwekezaji aje mikono mitupu ategemee mkopo toka Local Bank? Hakuna haja ya kuwa na Kituo cha Uwekezaji.Kwa akili yako unadhani wawekezaji wanawekeza na hela zao za mfukoni????
Enyi watanzania ni nani aliyewaroga??? Hivi ujamaa ndo umewafanya muwe na akili za kipumbavu namna hii????
Kwa taarifa yako, duniani, hakuna kuwekeza ni genuine anayetoa hela yake mfukoni na anawekeza. Kwa practice ya Duniani almost kila mfanyabiashara anakopa Bank na kuwekeza. Kwa duniani Bank ni sehemu ya kufanya biashara ya hela, kukopesha na sio sehemu ya kuweka fedha. Amka kilaza wewe
Asiye jua plan za biashara mataga kama wewe unafurahia hujaona magorofa yanaandikwa TO LET na hasara yake unajua nini mtu analipia kodi jengo yeye halipangishiNa wasiporudi hao Waturuki itakuwaje?
READ! Taarifa inasema Waturuki wamekosa mkopo wa benki za ndani
Maana yake hawakuja na mtaji!
Ndio haya Marehemu Mengi alikuwa anayasema wakati ana bifu na Wahindi, walikuwa wanamwambia tumekuja na briefcase la makaratasi ya business plan za kutajirikia hapa hapa kwenu! Yani sisi ni vichwa panzi.
Magufuli fukuza hao Waturuki!
Thank God Almighty tumepata kichaa mzalendo Ikulu hapapatikii wazungu, hafagilii wageni!
ALHAMDULLILAH ALA KULLI HAAAL HADHA MIN FADLI RABBI
Kajifunze biashara kwanza thn njoo ukoseeHao Waturuki pia hawakujiandaa vyema kuwekeza Tanzania. How comes zaidi ya miezi sita mko na mitambo (assets) ugenini bila kuanza biashara? No way, let them go!
Yaani wwe umenifurahisha sana,ulipofungua biashara yako ulienda TRA wwe mwenyewe,na ulipofunga biashara yako ukafurahi kua Sasa nimesha wakomoa TRA ukapiga kimya bila kuwataarifu TRA,na TRA wao wakaendelea kukupiga charge zao Kama kawa! Mkuu hata Mke au Mume ukimuacha toa taarifa ili Watu tujuwe, maana anaweza hata kuchukua Mkopo kwa jina lako kumbe ulishampiga chini kitambo tu!!Nilikuja juwa hilo baadae nimechelewa mkuu acha tu, wananidai milion1.