TRA yadaiwa kuvamia Waturuki na kufunga Ofisi jioni ya Leo (Desemba 14, 2020)

Hata mimi hili la kusema eti " Waturuki walikuwa wanasubilia mkopo kutoka Benki za ndani" umenishangaza sana ina maana Waturuki wanakuja Tanzania
 
mzee hizo si ndio fikra za ccm ujuwe huu ni mwaka wa 60 wa utawala wao hawana fikra nyengine Zaidi ya kunganganiya madaraka
 
Kodi zinariba Kama ilivyo mikopo ya chuo, hakuna tofauti Kati ya Kodi na mkopo afadhali mkopo wa bank una riba nafuu kuliko Kodi. Uwe umepata hasara au faida Kodi yao ipo pale pale
 
Waziri mpango fukuza wengine wale 22 hawatoshi wapo wengi mno waliojirundikia mali nyingi kwa njia za Rushwa
 
Huelewi uwekezaji kibiashara mkuu, omba ufafanuzi upate kuelewa.

Kwa hiyo benki za ndani kazi yake nini?

Fuatilia viwanda vilivyowekezwa hapa nchini ujue.
 
Hata mimi hili la kusema eti " Waturuki walikuwa wanasubilia mkopo kutoka Benki za ndani" umenishangaza sana ina maana Waturuki wanakuja Tanzania
Unashangaa nini mkuu? Kujua wanasubiria mkopo?

Kwa hiyo unataka hawa jamaa waanze uzalishaji ndio benki ziende kuomba kuwakopesha?

Uwekezaji haoupo hivyo kama unavyofikiria.

Si ushawahi kusikia investment cost..working capital...

Hebu jiweke wewe kwenye hiyo nafasi ya kuanzisha kiwanda,afu utuambie utaenda benki wakati gani.
 
Mkuu naona uelewa wako juu nini maana ya Tax clearance unamashaka kidogo. Hii kitu wengi wanaamini wakishaipata wapo waived na tax liabilities zozote zile ambazo zinaweza kupatikana.

Hii hata maafisa wengi wa TRA wanaitumia kama fimbo vyq adhabu kukusanya kodi.
 
Wewe ni mwongo huwezi ukaanzisha bishara na kuanza kulipa kodi kabla hata haujapata kipato. Acha uzushi wa namna hiyo. Umesha wahi sikia kitu kinachoitwa Grace period?

Wakoko kama nyie ni shida sana. Mnapenda sana mambo ya uongo uongo tuu na kuwadanganya watu wengine ili wakate tamaa ya kufanya biashara kama nyinyi.

Hivyo wewe kwa kufanya hivyo unafikiri, unamkoa nani? Rais Magufuli? Yeye huwezi ukamkomoa hata mara moja. Yeye ni Rais na maisha yake na yale ya familia yake amesha yaweka katika mkondo unao eleweka. Watakao suffer ni wewe, vizazi vyako na watanzania wengine ambao watahathirika na uongo wako.

Nyie watu mbona mnakuwa mizoga? Mnauwezo wa kuwaza kweli nyie? Mbona mnakuwa masokwe hivyo? Kwanini mnapenda kutiana uoga usio kuwa na maana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…