Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilidhani ushuu wake ni sawa na thamani ya gari lenyewe Yani nusu billion kapunguziwa Hadi million mia tatu huko Bado kashindwaChukua usd 214,660×2,300=555,818,000.
Yaani thamani ya gari ni nusu Billion.
Huo ushuru ni sahihi kwa mujibu wa Jini TRA
Haya ni matumizi mabaya ya hela. Bora kidume ambaye anatumia hela yake kuwa na wake wengi kuliko hawa wanao nunu magari kama haya.Yani hiyo hela ya gari ukinipa mimi, najenga mjengo mkali na magari matatu makali kabisa afu namtafunia mzabzab michepuko yake kiroho safi kabisa
Afu sitaenda mbinguni
Sio TRA ni ZRA tra hawawez kodi zanzibarChukua usd 214,660×2,300=555,818,000.
Yaani thamani ya gari ni nusu Billion.
Huo ushuru ni sahihi kwa mujibu wa Jini TRA
Tofauti iko wapi? Wote si ndugu moja tu?Sio TRA ni ZRA tra hawawez kodi zanzibar
Ndiyo maana watu wengi wanashindwa kuingiza magari mapya na magari chakavu yanachangiaMwaka 2014 ndugu yangu alilipishwa 9.4M kwa gari ya M20 kutoka UK
Hii nchi tunanyooshwa sana. Mlienda mwenyewe Bank M kudeposite na ushuru wa 5.60K wa Bandari
😂😂😂😂😂Ndoa yetu itafutwana ziraili pekee. Tena akifanya masihara namdedisha yeye kwanza
Sio G Wagon hiyo. Angalia nembo ya gari sio alichosema mwandishi.Hivi G-Wagon iwe tax exempted kwa Sababu gani hasa?
Hiyo ni brabus g wagon sheikhSio G Wagon hiyo. Angalia nembo ya gari sio alichosema mwandishi.
Ila nashangaa tajiri kapewa nafuu ya:
/ kulipa kwa awamu
/ kupewa namba za usajiri
/ kuachiwa aitoe bandarini
/ kuepushiwa storage charges za serikali kukaa na gari
Kwa kisharti mbuzi eti asiiendeshe. Sasa mmeitoa ya nini ?
Masikini mchafu na ki PREMIO chako kimefika bado unazingua kukichukua kigari chako kinapigwa mnada kabla hakijashuka kwenye meli...