sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.
Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.
Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.
Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.
Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.