TRA yafanya uonevu mkubwa, yapora milioni 700 kwenye akaunti binafsi za Diamond Platnumz

TRA yafanya uonevu mkubwa, yapora milioni 700 kwenye akaunti binafsi za Diamond Platnumz

Mangi TRA wamechukua pesa za akaunti yake binafsi huu ni uonevu. Usinimbie hata chama chenu kikichukua nchi mtakuwa mnaonea watu kwa namna hii .
Jana walivamia ofisi za Wasafi wakataka kutia kufuli.

Mama Samia alisema hataki kodi za dhulma.
Nyie si mnawafanyia mapambio
Hao...
Hebu tulieni lipeni kodi zinazotokqna na kukata mauno yenu

Ova
 
Mangi TRA wamechukua pesa za akaunti yake binafsi huu ni uonevu. Usinimbie hata chama chenu kikichukua nchi mtakuwa mnaonea watu kwa namna hii .
Jana walivamia ofisi za Wasafi wakataka kutia kufuli.

Mama Samia alisema hataki kodi za dhulma.
Sasa kama hawalipi kodi ulitaka wachekewe tu?
 
Tulisema CCM ni ile ile haiaminiki.

Wawekezaji watafuatilia kwa karibu kama kuna sheria Diamond Platnumz kakiuka au ni mungu-mtu mmoja katika mamlaka za TRA kaamua tu kujichukulia maamuzi ambayo hayakubaliki kisheria na katika kanuni na taratibu za kukusanya kodi za Tanzania.
 
Huwezi fidia kodi kihunni kuna utaratibu wa kukaa na mteja na kuongea aelewe au kumpa utaratibu wa kulipa sio kuzuia akaunti zake
Walivamia saa ngap? Ofisi za Wasafi hazina CCTV? Kwanin habari hii imefichwa?

Km huna hayo majibu wewe chawa jike piga kimya
 
Unaposema TRA imepora unamaanisha kitu gani? Pesa zilitolewa kutoka akaunti yake binafsi bila idhini yake au alipigiwa mahesabu ya kukwepa kodi?

Alipolalamika, amemlalamikia nani? Maelezo ya hayo malalamiko yako wapi?

Au unaleta hii habari wakusikie wanasiasa? Maana kama hakubaliani kuna hatua za kuchukua kupinga hayo mahesabu ya TRA.
Nenda Youtube utamsikia mwemyewe Mond mpaka kuhusu makadilio ya kodi na mpaka Kampuni ya Wasafi kuidai TRA zaidi ya Million 60 na juzi TRA walivamia Wasafi Media.
 
Back
Top Bottom