Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Hataki aonyeshe wapi alipoonewa maana TRA sio vichaa wakamsingiziaTRA hawawezi msingizia mondi,alipe Kodi,ndo kujenga nchi huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hataki aonyeshe wapi alipoonewa maana TRA sio vichaa wakamsingiziaTRA hawawezi msingizia mondi,alipe Kodi,ndo kujenga nchi huko
Tena mpaka kufika ofisi za wasafi!!Hataki aonyeshe wapi alipoonewa maana TRA sio vichaa wakamsingizia
Hilo nalo mseme wakati wa Magufuli halikuwepo.Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.
Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.
Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.
Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.
Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
CCTV footage zote ziwe open sio futi kafunika futi na futi kafunika futu, aonyeshe wapi kaonewa sio kulialia tu Kodi halipi so what?Tena mpaka kufika ofisi za wasafi!!
Wamepora wakapeleka wapi? Lipa Kodi mzee Kodi Ni lazimaAma kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.
Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.
Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.
Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.
Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
Unajua chanzo mwijakuAma kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.
Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.
Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.
Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.
Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
Kwani hiki walichofanya wangapi wamekilalamikia? Ni kigen masikion mwako?TRA hawawezi msingizia mondi,alipe Kodi,ndo kujenga nchi huko
Kampuni ya wasafi wanawadai TRA 60m?! Duh!Nenda Youtube utamsikia mwemyewe Mond mpaka kuhusu makadilio ya kodi na mpaka Kampuni ya Wasafi kuidai TRA zaidi ya Million 60 na juzi TRA walivamia Wasafi Media.
TRA hawawezi shirikiana na bank wakabeba mzigo wote huo pasi kuwa na groundKwani hiki walichofanya wangapi wamekilalamikia? Ni kigen masikion mwako?
Mke wa Diamond analalamika. Jamani TRA sikilizeni kilio cha mkeAma kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.
Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.
Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.
Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.
Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
hakuna uhuni hapo, hata nchi za mbele ipo...Huwezi fidia kodi kihunni kuna utaratibu wa kukaa na mteja na kuongea aelewe au kumpa utaratibu wa kulipa sio kuzuia akaunti zake
Nimejiskia vibaya sana aisee..uskute mama yake yupo Marangu ndani ndani huko analima maharage hajui hata kama kuna jamii forum au kuna mtu anaitwa Diamond maskini ya Mungu,lakinj anajumjishwa hapa ndani tena kwa kuzalilishwa matusi ya nguoni,kwa mada za kipumbavu kabisa.Nasimama kuomba msamaha kwa mama CARDLESS kwa niaba ya Jf nzima ili tuuvuke mwaka kwa amani na tupate baraka kwa wazazi wetu 2023.[emoji120][emoji120][emoji120]
Sasa mkuu kwanza achana na mambo ya vyama maana sasa ni kama unataka atetewe na ccm.Mangi TRA wamechukua pesa za akaunti yake binafsi huu ni uonevu. Usinimbie hata chama chenu kikichukua nchi mtakuwa mnaonea watu kwa namna hii .
Jana walivamia ofisi za Wasafi wakataka kutia kufuli.
Mama Samia alisema hataki kodi za dhulma.
Mleta mda kasema akaunti yake binafsi ndo imekombwa hizo pesa. Lakini hapo hapo anazungumzia kampuni ya wasafi kuwa ndo imeporwa. Ukiona hivyo, ujuwe jamaa kakwepa kodi. Either kwa kufahamu ama kutokufahamu.Nenda Youtube utamsikia mwemyewe Mond mpaka kuhusu makadilio ya kodi na mpaka Kampuni ya Wasafi kuidai TRA zaidi ya Million 60 na juzi TRA walivamia Wasafi Media.
Kijana WA dayamondi umeamua liwalo na liwe leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanaume wivu na roho mbaya havijawai mletea msosi mezani. Komaa na spices mkuu wivu sio mtaji