TRA yafanya uonevu mkubwa, yapora milioni 700 kwenye akaunti binafsi za Diamond Platnumz

TRA yafanya uonevu mkubwa, yapora milioni 700 kwenye akaunti binafsi za Diamond Platnumz

Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.

Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.

Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.

Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.

Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
Hilo nalo mseme wakati wa Magufuli halikuwepo.
 
Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.

Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.

Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.

Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.

Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
Wamepora wakapeleka wapi? Lipa Kodi mzee Kodi Ni lazima
 
Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.

Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.

Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.

Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.

Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
Unajua chanzo mwijaku
 
Mke wa Diamond analalamika. Jamani TRA sikilizeni kilio cha mke
 
Huwezi fidia kodi kihunni kuna utaratibu wa kukaa na mteja na kuongea aelewe au kumpa utaratibu wa kulipa sio kuzuia akaunti zake
hakuna uhuni hapo, hata nchi za mbele ipo...

Ukidaiwa kodi Marekani, ukawa hulipi wanaweza kukutenda mabaya kama yote:

/wanalamba mshahara wako juu kwa juu

/wanataifisha nyumba

/wanakunyang'anya passport

/wanalima mafao ya uzeeni

/wanafuta vyeti vyako vya ku practice uhandisi, uwakili, ualimu, uhasibu, udaktari.

/wanakupora gari lako la kisharobaro, shenz type...

Sheria za kukusanya kodi za Tanzania cha mtoto!
 
uskute mama yake yupo Marangu ndani ndani huko analima maharage hajui hata kama kuna jamii forum au kuna mtu anaitwa Diamond maskini ya Mungu,lakinj anajumjishwa hapa ndani tena kwa kuzalilishwa matusi ya nguoni,kwa mada za kipumbavu kabisa.Nasimama kuomba msamaha kwa mama CARDLESS kwa niaba ya Jf nzima ili tuuvuke mwaka kwa amani na tupate baraka kwa wazazi wetu 2023.[emoji120][emoji120][emoji120]
Nimejiskia vibaya sana aisee..

Mimi ndo maana hata kama nikizinguana na mtu siwezi kumtukania ndugu yake
 
Wabongo bana tunapenda kubembelezana sana.

Hivi mnaonaga wazungu wanavyokuwaga serious na tax payments?..

Ukileta janjajanja lazima upewe za uso.

Kama sio kodi ya kubambikiwa hapo lazima ulipe aisee..
 
Mangi TRA wamechukua pesa za akaunti yake binafsi huu ni uonevu. Usinimbie hata chama chenu kikichukua nchi mtakuwa mnaonea watu kwa namna hii .
Jana walivamia ofisi za Wasafi wakataka kutia kufuli.

Mama Samia alisema hataki kodi za dhulma.
Sasa mkuu kwanza achana na mambo ya vyama maana sasa ni kama unataka atetewe na ccm.

Pili, unasema kampuni ya
Wasafi wameporwa milioni 700 na TRA, lakini hapo hapo unasema wamechukuwa pesa hizo kutoka kwenye akaunti yake binafsi.

Hayo mazingira yanaonyesha alikwepa kodi ndo maana wakazifuata kwenye akaunti binafsi hizo pesa. Maana kama zimetokana na mapato ya kampuni, lazima zilimwe kodi kabla hazijaenda kwenye akaunti binafsi.

Kuna dalili za ukwepaji kodi kutoka kwa mkurugenzi wa wasafi. Either kwa kujuwa ama kutokujuwa.

Labda alijisahau kwasababu yeye ni ccm.
 
Nenda Youtube utamsikia mwemyewe Mond mpaka kuhusu makadilio ya kodi na mpaka Kampuni ya Wasafi kuidai TRA zaidi ya Million 60 na juzi TRA walivamia Wasafi Media.
Mleta mda kasema akaunti yake binafsi ndo imekombwa hizo pesa. Lakini hapo hapo anazungumzia kampuni ya wasafi kuwa ndo imeporwa. Ukiona hivyo, ujuwe jamaa kakwepa kodi. Either kwa kufahamu ama kutokufahamu.

Makampuni yanasheria zake. Ukiwa mkurugenzi, haina maana unachukuwa tu pesa kutoka kwenye kampuni kwenda kwenye akaunti binafsi bila melezo ya kueleweka. Kama ni mshahara utakatwa kodi nk.

Kwasababu ni superstar ambaye anaipigia debe ccm na kuimba “Maghufuli baba lao”, alijisahau maybe na kuona hawezi kuulizwa.
 
Uporaji wa pesa kweny akaunt za watu umerudi upyaaa?.[emoji856][emoji856][emoji856]
 
Back
Top Bottom