TRA yafanya uonevu mkubwa, yapora milioni 700 kwenye akaunti binafsi za Diamond Platnumz

TRA yafanya uonevu mkubwa, yapora milioni 700 kwenye akaunti binafsi za Diamond Platnumz

Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.

Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.

Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.

Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.

Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
Ccm mbere kwa mbere
 
Nashangaa mteja wa TRA anapolalamika kutembelewa na maafisa wa TRA, nini Kiko nyuma ya hofu ya Diamond?

GSM juzi kaingiza semi trailer 250, haogopi ugeni wa TRA. Mtu aliyelipa kakodi kwa milioni 800 ka magari kelele mingi.

Serikali, Hilo jambo mlilolijua, likazieani buti, najua analia ili kujikinga.

Kaizari asipangiwe jinsi ya kukagua kama kilicho chake kinalipwa
 
Sasa mkuu kwanza achana na mambo ya vyama maana sasa ni kama unataka atetewe na ccm.

Pili, unasema kampuni ya
Wasafi wameporwa milioni 700 na TRA, lakini hapo hapo unasema wamechukuwa pesa hizo kutoka kwenye akaunti yake binafsi.

Hayo mazingira yanaonyesha alikwepa kodi ndo maana wakazifuata kwenye akaunti binafsi hizo pesa. Maana kama zimetokana na mapato ya kampuni, lazima zilimwe kodi kabla hazijaenda kwenye akaunti binafsi.

Kuna dalili za ukwepaji kodi kutoka kwa mkurugenzi wa wasafi. Either kwa kujuwa ama kutokujuwa.

Labda alijisahau kwasababu yeye ni ccm.

Kwa hiyo Chadema sasa hivi mnasema hakuna kodi za dhulma?
 
Ndo matokeo ya upuuzi wenu na ushamba.

Mara nanunua ndege,mara royce royce 2, mara mil 94 cheni, mara nna hela najjlikana,
Huku lofa mwingine anaiga ,nahonga range 2, mara nantombe mama na ntoto, mara nna ghorofa.

Mafisi yanawasoma tu huko ofisini yanapiga hesabu.
Sallam kashanusa soo lililoko mbele ndo mana kakaa "mguu tegua"
 
Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.

Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.

Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.

Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.

Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
Halipi Kodi, Yuko bize kusafirisha makubwa jinga MWIJAKU na baba levo Qatar
 
Back
Top Bottom