sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Alipe kodi huyo DAINAMO ,huu mwisho wa mwaka ,"KOTA YA NNE" ,Alipe kodi aache MBA MBA MBA.Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.
Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.
Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.
Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.
Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
Unaposema TRA imepora pesa za kampuni ya Wasafi unamaanisha kitu gani? Pesa zilitolewa kutoka akaunti yake binafsi bila idhini yake au alipigiwa mahesabu ya kukwepa kodi?Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.
Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.
Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.
Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.
Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
Heee, fafanua, wamepora kwa misingi ipi???!!!!Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.
Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.
Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.
Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.
Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
Mangi TRA wamechukua pesa za akaunti yake binafsi huu ni uonevu. Usinimbie hata chama chenu kikichukua nchi mtakuwa mnaonea watu kwa namna hii .Unaposema TRA imepora unamaanisha kitu gani? Pesa zilitolewa kutoka akaunti yake binafsi bila idhini yake au alipigiwa mahesabu ya kukwepa kodi?
Alipolalamika, amemlalamikia nani? Maelezo ya hayo malalamiko yako wapi?
Au unaleta hii habari wakusikie wanasiasa? Maana kama hakubaliani kuna hatua za kuchukua kupinga hayo mahesabu ya TRA.