TRA yafanya uonevu mkubwa, yapora milioni 700 kwenye akaunti binafsi za Diamond Platnumz

TRA yafanya uonevu mkubwa, yapora milioni 700 kwenye akaunti binafsi za Diamond Platnumz

Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.

Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.

Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.

Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.

Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
Wapambe wa mundi naona mnampambania.Kwa zamu wakati wafanyabiashara wengine wanalia awamu ya 5 ye alikuwa ametulia ndiyo mana tunasema mwenzako anapotendewa sivyo usikae kimya paza sauti ili wakati ujao ikitokea kwako tupaze sauti pamoja.
 
Kasema mwenyewe Mond na kamtaja mpala Meneja wa TRA Tegeta Bi Husna kuwa alimlalamikia sana mpk mwisho wa siku Husna hakuwa anapokea simu
TRA Tegeta wanashida sana. Ni wasumbufu sana kwa wafanyabiashara, na ni waonevu sana.
 
Mwambie alipe kodi,

Na muendele kuanika maburungutu

Yenu,macheni yenu mtandaoni

Ohh sijui nmenunua Mali za mln 300,700 sjui nmetoboa pua nmelipa mln 10,lipeni kodi

Ova
Jamaa anapenda lia likija swala la kodi.

Ila yaonesha ana washauri wabaya wa mambo ya kodi
 
Aisee huwa wanafyeka pia. Labda kama siku hizi wameacha
Ukiona wameidaka kubwa hivyo maana yake wanakudai kikubwa, hapo wanasubiria uende watakwambia nenda kakate rufaa, ukishindwa wanachukua pesa.
Usipoenda wanachukua pia
 
Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.

Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.

Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.

Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.

Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
Huyo mama sindiyo alikuwa anawadanganya watu kuwa JPM alikuwa anapora mali za watu wasio na hatia kwa mtindo huo ...ila sasa ukweli utajulikana kwa sasa wazawa ndiyo wanao porwa mali kwa mtindo ule ule walio ukashifu huku mafisadi wakina singasinga, rostam gsm ,pateri, kuchubai, osman, nk wanakula bata kwa kutumia pesa za serikali watakavyo kisa siyo watu weusi
 
Ndo matokeo ya upuuzi wenu na ushamba.

Mara nanunua ndege,mara royce royce 2, mara mil 94 cheni, mara nna hela najjlikana,
Huku lofa mwingine anaiga ,nahonga range 2, mara nantombe mama na ntoto, mara nna ghorofa.

Mafisi yanawasoma tu huko ofisini yanapiga hesabu.
Sallam kashanusa soo lililoko mbele ndo mana kakaa "mguu tegua"
Acha roho mbaya na wivu WA kimasikini

Kwani ni kosa kisheria Kufanya yote hayo ...

Tafuta hela kijana chuki za kuchukia wenye hela hazitakusaidia
 
Ukiona wameidaka kubwa hivyo maana yake wanakudai kikubwa, hapo wanasubiria uende watakwambia nenda kakate rufaa, ukishindwa wanachukua pesa.
Usipoenda wanachukua pia
Hawana ruhusa ya kubeba hela tu kwenye account. Tribunal au mahakama ndio yenye uwezo wa kuchukua mali ya mtu baada ya kushinda kesi. Waache uonevu. Toa demand tubishane mshindi apatikane. They cant just forfeit peoples money.
 
TRA, imeshatoa maelezo yake, infact hakuna uporaji, ni uzushi tu, bodi na bodi zitakaa kusuluhisha na yatakwisha bila shida.
Sio kusuluhisha kwakua hakuna ugomvi, bali ameitwa ofisini apewe ufafanuzi juu ya kodi aliyokwepa na kupelekea account zake kufungwa ingawa tayari alishapewa ufafanuzi huo kwa njia ya maandishi.
 
Hawana ruhusa ya kubeba hela tu kwenye account. Tribunal au mahakama ndio yenye uwezo wa kuchukua mali ya mtu baada ya kushinda kesi. Waache uonevu. Toa demand tubishane mshindi apatikane. They cant just forfeit peoples money.
Hakuna mtu amewahi shinda kesi dhidi ya TRA
 
Wanalazimisha watu kuficha fedha zao nje ya nchi.ni rahisi sana kuweka fedha zako nje ya nchi na kuzitumia nchini.Hasa kwa sasa ambapo techonologia ya miamala imekuwa..

Ila pia ukwepaji kodi ni uhujumu uchumi.Kama kuna kodi imekwepwa na ndugu Diamond basi Walichofanya TRA kwake ni kwa maslahi mapana ya nchi
Maslahi ya kununua lc300 maana pesa za vyoo tunakopa , miradi tunakopa nchi haina mwelekeo ile Hiroshima ingepigwa huku tupate akili
 
Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.

Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.

Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.

Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.

Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
Huyo Kijana alikuwa anakwepa Kodi enzi za Mwendakuzimu kisa tu anaimba na kufanya Kampeni za Mwendakuzimu na CCM, Mpaka wakawa wanapigiana simu usiku kwenye Matamasha.
Akatumia uchochoro ule kufanya ukwepaji Kodi.
Sasa Utawala wa sheria umerudi, hakuna Kubebwa bebwa tena
 
Back
Top Bottom