TRA yafungulia akaunti zote za Wafanyabiashara zilizokuwa zimefungwa kutokana na madeni ya kodi


Na pesa walizopora wamezirudisha kwenye hizo bank accounts?
 
Hilo somo kwenye kitabu changu cha ujasiriamali linaitwa 'The Entrepreneur and His Environment' Mjasiriamali na mambo yanayo mzunguka kuanzia ngazi ya familia hadi kimataifa. Naishukuru awamu ya 5 kwakukiongezea nyama za kutosha nichakimombo.Nimejadili kwa kina jinsi Siasa,Afya na mikingamo inayo mzunguka mjasiriamali vinavyoweza kuathili biashara political,physical and environmental factors affecting Entrepreneur ship 'Stay tuned to be released soon'
 
Akili ZINAWARUDIA, ila jamani hii nchi ilikuwa ishatumbukizwa mtaroni.
 
Mwendazake alishasema kuwa atahakikisha matajiri wanaishi kama mashetani!
 
Hata mm Leo hi nimeshanga sna nilikuwa cjafanyiwa assessment ya mwaka huu nilijisahau kbsa juz wakaanza kukamata magari bas nikafanya jitiada za kufika ofc zao kuomba utaratibu wa kulipa nikabiwa niandike barua ya kueleza sababu zilizofanya kuchelewwa kulipa Kodi na kukadiriwaa bas nikafanya nikaandika barua ya kueleza kuwa nilikuwa naumwa sana na kuuguza Sanaa hvyo nikashindwa kufika ofisini bas wakakubali naleo nikaambiwa nilipe kiasi alfu penalt nikafutiwaa hvyo nikaambiwa nilipieee Kia's nilichonacho kuendelea na utaratibu wakt awali walinimbia napazwaa kulipa 250000 pmj na fineee. Kweli kwa leo hi nimewasifu Hawa vijana watoza ushuru wamekuwa waelewa Sanaa ..nikalipaa pale pale.


Nimefurahi mnk ingekuta kipind Cha meko uwez futiwa fine Tena kwa system za tra. Nilishangaa snaa cjatoa hat ongo yoyote
 


Huo ndio utaratibu duniani njia za kistaarabu muda wake unapoisha kinachofuata watu wanavamia account yako wanakomba, halafu ndio mnaenda mahakamani kama unadhani umeonewa..

Kuna wanafanya kazi wachache TRA ni shida kwa kutumia sheria vibaya kujinufaisha, ila tatizo kubwa zaidi kwenye kodi Tanzania ni uelewa mdogo wa wafanyabiashara kwenye sheria na taratibu za kodi.

Anyway kwa utaratibu huu wa kubembelezana hakuna miradi itakayo kamilika ontime, something will have to give kati ya debt obligations, government running cost au miradi.

Sio ngumu kuelewa miradi ndio itakayo simamishwa, TANESCO washaanza na usambazaji wa umeme wakati hela za REA ni mkopo sasa sijui shida ipo wapi.

Hawa wabunge wetu na wafanyakazi wenye posho and other ‘benefits in kind’ mfano anaishi nyumba ya serikali, gari la serikali anawekewa mafuta, wanapata mikopo yenye interest nafuu kama sio bure na marupurupu mengine; watu kama hawa nchi za wenzetu wanatakiwa kulipa income tax yote hayo.

Ninauhakika huo utaratibu wahusika wangeujua upoje halafu bunge lipendekeze kuiga huo mfumo; ndani ya bunge kungewaka moto na malalamiko ya unyonyaji.

Swala la kodi Tanzania bado sana, na haya maamuzi ni kurudi nyuma; sio kusonga mbele watu inabidi wazoee utaratibu wa kodi.
 
utawala wa Awamu ya Tano ulikuwa utawala wa kibabe sana. Ahsante sana Rais wa awamu ya sita Mama Samiah Suluhu Hassan.
Ulikuwa utawala primitive. Magufuli alistahili kuwa kiongozi karne ya 17. Kwa karne hii alikuwa totally misfit. Ndiyo maana alikuwa anaonekana ni kiongozi primitive.
 
Unazungumzia Afrika au Ulaya maana hata Huko kuliko na strong institution pia kuna mabeberu wajanja.

Sasa hii Africa yangu hii ambayo Kiongozi anaamka na kutamka sheria mdomoni Nani atii sheria %??
 
Shetani Magu alikuwa kiumbe hatari sana. Tuanze kudili na mitoto yake. Mimi naanza na yale mawili yenye vitambi.
 
Hawa jamaa wamepora sana hela zetu kwa kisingizio cha kukusanya kodi. TRA inabidi waingie kwenye vitaby vya Guiness. Wanakusanya kodi kwa kwenda nyuma. sio kwa biashara unayoifanya. Ili wafikie malengo
 
Kilatha, kunyang'anya fedha za wananchi kwa sababu ya miradi iliyoanzishwa bila mpangilio is TOTAL INSANITY.

Kurudi nyuma kama kuna tija siyo dhambi. Kwanza kule nyuma kwa akina JK na BWM kodi zilikusanywa, miradi iliyopangiliwa LOGICALLY ilifanyika, wafanyakazi walipata nyongeza za mishahara, wahitimu kwa asilimia fulani walipata ajira.

Tuachane na propaganda za Mwendazake kuwa eti yeye ndiye alikusanya kuliko wengine. Ni UWONGO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…