TRA yafungulia akaunti zote za Wafanyabiashara zilizokuwa zimefungwa kutokana na madeni ya kodi

TRA yafungulia akaunti zote za Wafanyabiashara zilizokuwa zimefungwa kutokana na madeni ya kodi

Mwisho wa utawala wa kitesi, saivi watu wafanye kazi na wapate pesa za kulipa kodi na sio kuchukua pesa za raia na kuanza kusema tumevuka lengo, nani kama mama
 
Ivi Ma"gufool alikuwa mtanzania kweli,, au alikuwa pandikizi la Rwanda,

Maana alikuwa anaivuruga nchi yetu kila idara, kibaya Zaid hakuwa hata na Utu pia
Kwa umaskini na makuzi yake aliathirika kisaikolojia kiasi kwamba akawa anachukia kila mtu TAJIRI hata kama siyo muwekezaji.

Ushamba, kukulia maisha ya kutojuwa biological father ambaye alikuwa Mrundi, magonjwa ya moyo, ukichaa ndiyo vilimfanya ajikatae ma kuchukia watu wote wenye fedha zao.
 
Kama suala la Ku freeze akaunti ya mteja huwa ni ya mwisho mara baada ya njia kadhaa ikiwemo mazungumzo na wadaiwa kushindikana, sasa wakati ule wanafungia akaunti za watu Ina maana njia hizo za kawaida zilishindwa??

Vipi awamu hii ya Mama hizo njia ndiyo zitaweza??

Kwa kweli miaka 5 iliyopita ilikuwa ni ya maumivu tupu.
Licha ya Ku freeze akaunti bado walikuwa wanabambika na kesi za Uhujumi uchumi kila kona 🙆
 
Muda utaongea. Kama staili hii ya kukusanya kodi kwa wabongo kwa kubembelezana inatufaa au haitufai, namba zitatuambia. Kama makusanyo ya kodi ya TRA kwa mwezi yatabaki tarakimu hizo hizo au kupanda angalao kidogo, basi utaratibu huu ni mzuri na wa kupongezwa. Kama makusanyo ya kodi kwa mwezi yataporomoka, basi utaratibu huu wa kujadiliana na kubembelezana kwa wabongo hautufai na itabidi utaratibu wa awali urejeshwe. Lakini ninavyowajua wabongo mhhhh, ngoja tusubiri na wala tusije tukasingizia corona!
 
Ni vizuri maana wengine mkishika hapo ina maana kila kitu kinasimama ajira za watu hata kile kidogo cha kodi nacho kinapotea kabisa maana kama umefreeze acc...biashara itaendeleaje kwa kulipa kidogo kidogo wanaepusha mengi....hongera TRA
Kuondoka kwa quality group ya manji,maelfu ya Watanzania walipoteza ajira
 
Truth be told, mazoea mabaya ya muda mrefu yamewafanya wafanyabiashara wengi wawe na kasumba ya kutoridhia kutii sheria bila shurti --- lugha ya kutoa kodi kwa hiari hawaielewi kamwe. Wamejifunza njia ya mikato, ujanjaujanja, wiziwizi, rushwarushwa, dilidili and the like. Sasa wakiletwa kwenye mstari, by definition, wao wanadhani wanaonewa. What!???
Hizo ni assumption tuu umefanya biashara wewe, fedha ya mtaji, faidi na mkopo wote ukazuiliwa kisa deni, hata serikali inadaiwa na watu wa ndani na nje je account zao zilikamatwa? hekima ndiyo hii unadaiwa unakaa meza moja unalipa kidogo kidogo kazi zinaendelea na ajira bado zipo.
 
" matajiri wote amewanyoosha"
" Sasaivi wote tuko sawa, hakuna cha tajiri wala maskini"
"Amewakomesha" ....

Hahahahaaa maamae wanyonge kaeni mkao wa kulia mbwa nyie
Unajidanganya.Tafuta fedha wenzio wanagweza jiulize pamoja.na kufungiwa waliweza kusurvive JPM aliyechukua hizo hela kafa.Nachekaga kijinga jinsi dunia lilivyorahisi kuishi haiyaji presha za kukomoana. Ukiondoka sisi twala shenanigans mwenyewe hakukaa nayr aliondoka
 
Truth be told, mazoea mabaya ya muda mrefu yamewafanya wafanyabiashara wengi wawe na kasumba ya kutoridhia kutii sheria bila shurti --- lugha ya kutoa kodi kwa hiari hawaielewi kamwe. Wamejifunza njia ya mikato, ujanjaujanja, wiziwizi, rushwarushwa, dilidili and the like. Sasa wakiletwa kwenye mstari, by definition, wao wanadhani wanaonewa. What!???
Ule ulikuwa uonevu tu, nina kwambia hawawezi tangaza kuwa wameachana nao, kuwa ni zile kodi za kubambikiza italeta picha mbaya!!ila huo ndio ukweli!!huwezi ukaibuka kumdai mfanyabiashara kodi ya miaka kumi nyuma, wakati kila mwaka ulikuwa unampatia tax clearence!!?na ndio maana kuna kipindi walitoa nafasi wajitokeze wakakubaliane jinsi ya kulipa hizo kodi, wengi hawakujitokeza, bahati nzuri ameingia rais asiyependa kodi za dhuruma ndio sasa wameona wafanye hivyo!!kama taifa tulikuwa kwenye wakati mgumu sana, na sijui tungetokaje hapa!!MUNGU FUNDI
 
Back
Top Bottom