Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
🤣🤣🤣hahahahaha.......... kayafa kufa kwa korona kwasababu tamu ya singizi ni ile sinzia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣hahahahaha.......... kayafa kufa kwa korona kwasababu tamu ya singizi ni ile sinzia
Kwani nasema uongo ndugu zangu?"msema kweri ni mpenzi wa Mungu"
Kwa umaskini na makuzi yake aliathirika kisaikolojia kiasi kwamba akawa anachukia kila mtu TAJIRI hata kama siyo muwekezaji.Ivi Ma"gufool alikuwa mtanzania kweli,, au alikuwa pandikizi la Rwanda,
Maana alikuwa anaivuruga nchi yetu kila idara, kibaya Zaid hakuwa hata na Utu pia
hapo sawa kabisa
Hapo sawa jamani,ngoja tukae mezani
unaongelea lile jitu la Hai lijinga lenye makengeze tqpeli katili na jizi mbwa wewweShetani Magu alikuwa kiumbe hatari sana. Tuanze kudili na mitoto yake. Mimi naanza na yale mawili yenye vitambi.
Nimesakrifasi maisha yangu kwa ajiri ya wanyonge😂😂😂😂😂😂"msema kweri ni mpenzi wa Mungu"
Kuondoka kwa quality group ya manji,maelfu ya Watanzania walipoteza ajiraNi vizuri maana wengine mkishika hapo ina maana kila kitu kinasimama ajira za watu hata kile kidogo cha kodi nacho kinapotea kabisa maana kama umefreeze acc...biashara itaendeleaje kwa kulipa kidogo kidogo wanaepusha mengi....hongera TRA
Hizo ni assumption tuu umefanya biashara wewe, fedha ya mtaji, faidi na mkopo wote ukazuiliwa kisa deni, hata serikali inadaiwa na watu wa ndani na nje je account zao zilikamatwa? hekima ndiyo hii unadaiwa unakaa meza moja unalipa kidogo kidogo kazi zinaendelea na ajira bado zipo.Truth be told, mazoea mabaya ya muda mrefu yamewafanya wafanyabiashara wengi wawe na kasumba ya kutoridhia kutii sheria bila shurti --- lugha ya kutoa kodi kwa hiari hawaielewi kamwe. Wamejifunza njia ya mikato, ujanjaujanja, wiziwizi, rushwarushwa, dilidili and the like. Sasa wakiletwa kwenye mstari, by definition, wao wanadhani wanaonewa. What!???
hahahahaha...................................hahahahaha.......... kayafa kufa kwa korona kwasababu tamu ya singizi ni ile sinzia
pwapwapwa pwapwapwaaaTuna bahati ya kipekee kama Taifa kufanya mapinduzi yasiyokuwa na umwagaji dam Mungu fundi kayafa pwaaaaaaaa
Unajidanganya.Tafuta fedha wenzio wanagweza jiulize pamoja.na kufungiwa waliweza kusurvive JPM aliyechukua hizo hela kafa.Nachekaga kijinga jinsi dunia lilivyorahisi kuishi haiyaji presha za kukomoana. Ukiondoka sisi twala shenanigans mwenyewe hakukaa nayr aliondoka" matajiri wote amewanyoosha"
" Sasaivi wote tuko sawa, hakuna cha tajiri wala maskini"
"Amewakomesha" ....
Hahahahaaa maamae wanyonge kaeni mkao wa kulia mbwa nyie
Ule ulikuwa uonevu tu, nina kwambia hawawezi tangaza kuwa wameachana nao, kuwa ni zile kodi za kubambikiza italeta picha mbaya!!ila huo ndio ukweli!!huwezi ukaibuka kumdai mfanyabiashara kodi ya miaka kumi nyuma, wakati kila mwaka ulikuwa unampatia tax clearence!!?na ndio maana kuna kipindi walitoa nafasi wajitokeze wakakubaliane jinsi ya kulipa hizo kodi, wengi hawakujitokeza, bahati nzuri ameingia rais asiyependa kodi za dhuruma ndio sasa wameona wafanye hivyo!!kama taifa tulikuwa kwenye wakati mgumu sana, na sijui tungetokaje hapa!!MUNGU FUNDITruth be told, mazoea mabaya ya muda mrefu yamewafanya wafanyabiashara wengi wawe na kasumba ya kutoridhia kutii sheria bila shurti --- lugha ya kutoa kodi kwa hiari hawaielewi kamwe. Wamejifunza njia ya mikato, ujanjaujanja, wiziwizi, rushwarushwa, dilidili and the like. Sasa wakiletwa kwenye mstari, by definition, wao wanadhani wanaonewa. What!???