Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria ya kuunda TRA ya mwaka 1996 inaunda vilevile TRA Tax Tribunal ambapo walipa kodi na Serikali hushitakiana kutafuta haki. Baada ya Tax Tribunal asiyeridhika hufuata mfumo wa rufaa hadi Mahakama Kuu then Court of Appeal.TRA sasa wanavunja sheria; mkwepaji wa kodi anapaswa kupata staili yake
Kama nilivyosema kuna watu wachache wanatumia sheria vibaya kukandamiza wafanyabiashara hilo ndio tatizo la msingi na hawa ndio wanaipa sura mbaya TRA.Kilatha, kunyang'anya fedha za wananchi kwa sababu ya miradi iliyoanzishwa bila mpangilio is TOTAL INSANITY.
Kurudi nyuma kama kuna tija siyo dhambi. Kwanza kule nyuma kwa akina JK na BWM kodi zilikusanywa, miradi iliyopangiliwa LOGICALLY ilifanyika, wafanyakazi walipata nyongeza za mishahara, wahitimu kwa asilimia fulani walipata ajira.
Tuachane na propaganda za Mwendazake kuwa eti yeye ndiye alikusanya kuliko wengine. Ni UWONGO
Walizuia pesa ambazo zingezalisha, je wata- compasate hasara zilizosababishwa na kuzuia mzunguko wa fedha hizo.MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imezifungulia akaunti zote za wafanyabiashara ilizokuwa zimeshikiliwa kutokana na madeni ya kodi
Hayo yamesemwa leo mjini Morogoro na Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma wa (TRA), Richard Kayombo, wakati akitoa mada kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri (TEF).
Kayombo amesema hivi sasa mamlaka hiyo inaingia mikataba ya makubaliano na wafanyabiashara hao wenye madeni ili walipe kwa utaratibu maalum.
Amesema sheria inairuhusuTRA kushikilia akaunti ya mtu yeyote ambaye anadeni la kodi kama njia ya kupata fedha ambazo serikali inadai.
Lakini Kayombo amesema uamuzi wa kushikilia akaunti ya mfanyabiashara huwa ya mwisho kabisa baada ya njia zingine zote kama majadiliano kushindikana.
"Sikawaida kushikilia akaunti ya mfanyabiashara na uamuzi huu mara nyingi unakuwaga wa mwisho kabisa baada ya jitihada zingine kushindikana ikiwemo majadiliano na mhusika," amesema Kayombo
"Tumeamua kuziachia hizi akaunti ili sasa tuwe tunakaa mezani na kujadiliana na wafanyabiashara wenye madeni namna bora ya kulipa taratibu taratibu na tunaachana na ule wa kushikilia akaunti zao," amesema Kayombo
Chanzo: NIPASHE
Ivi Ma"gufool alikuwa mtanzania kweli,, au alikuwa pandikizi la Rwanda,Akili ZINAWARUDIA, ila jamani hii nchi ilikuwa ishatumbukizwa mtaroni.
Truth be told, mazoea mabaya ya muda mrefu yamewafanya wafanyabiashara wengi wawe na kasumba ya kutoridhia kutii sheria bila shurti --- lugha ya kutoa kodi kwa hiari hawaielewi kamwe. Wamejifunza njia ya mikato, ujanjaujanja, wiziwizi, rushwarushwa, dilidili and the like. Sasa wakiletwa kwenye mstari, by definition, wao wanadhani wanaonewa. What!???
The macro and Microfactors factors ,the challenges to the Entrepreneurs sustainability!!Hilo somo kwenye kitabu changu cha ujasiriamali linaitwa 'The Entrepreneur and His Environment' Mjasiriamali na mambo yanayo mzunguka kuanzia ngazi ya familia hadi kimataifa. Naishukuru awamu ya 5 kwakukiongezea nyama za kutosha nichakimombo.Nimejadili kwa kina jinsi Siasa,Afya na mikingamo inayo mzunguka mjariamali vinavyoweza kuathili biashara political,physical and environmental factors affecting Entrepreneur ship 'Stay tuned to be released soon'
Habari mbaya sana kwa wazee wa legacy, Tanzania mpya, make Tanzania great again,MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imezifungulia akaunti zote za wafanyabiashara ilizokuwa zimeshikiliwa kutokana na madeni ya kodi
Hayo yamesemwa leo mjini Morogoro na Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma wa (TRA), Richard Kayombo, wakati akitoa mada kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri (TEF).
Kayombo amesema hivi sasa mamlaka hiyo inaingia mikataba ya makubaliano na wafanyabiashara hao wenye madeni ili walipe kwa utaratibu maalum.
Amesema sheria inairuhusuTRA kushikilia akaunti ya mtu yeyote ambaye anadeni la kodi kama njia ya kupata fedha ambazo serikali inadai.
Lakini Kayombo amesema uamuzi wa kushikilia akaunti ya mfanyabiashara huwa ya mwisho kabisa baada ya njia zingine zote kama majadiliano kushindikana.
"Sikawaida kushikilia akaunti ya mfanyabiashara na uamuzi huu mara nyingi unakuwaga wa mwisho kabisa baada ya jitihada zingine kushindikana ikiwemo majadiliano na mhusika," amesema Kayombo
"Tumeamua kuziachia hizi akaunti ili sasa tuwe tunakaa mezani na kujadiliana na wafanyabiashara wenye madeni namna bora ya kulipa taratibu taratibu na tunaachana na ule wa kushikilia akaunti zao," amesema Kayombo
Chanzo: NIPASHE
hahahahaha.......... kayafa kufa kwa korona kwasababu tamu ya singizi ni ile sinziaSasa hivi ni muda wa kulipona Taifa baada ya Kayafa kufa kwa Corona.