TRA yafungulia akaunti zote za Wafanyabiashara zilizokuwa zimefungwa kutokana na madeni ya kodi

Wengine walikwapua bila ya hata majadiliano wakaondoka na hela yote hadi mitaji yetu. Jee hapo mnatusaidia vip
Yule mzee ujue hakuwa na simile hata kidog dhidi ya uovu.Hata kama ulifanya maovu miaka 10 iliyopita anakushughlikia .Kiufupi alifukua makaburi kitu ambacho usipojitoa kafara huwezi.Kwan watumishi hewa waliajiriwa leo? C ni zaid ya miaka 20 nyuma! Pembejeo hewa,wanafunzi hewa vyuo Vikuu na mengi mengi kabisa.Kwa upande wa biashara kama mwenendo ulikuwa hivyo basi huenda kulikuwa na Tax clearance za kifisad .Walifuatiliwa na hatua zikachukuliwa na ndio Maana wanaolalamika leo wala mahakaman hawajaenda. Sasa Leo wamesamehewa tuu wanataka huruma ooh account zetu zilifungwa, mbona hamsemi zilifungwa kwa sababu zipi? Inamaana waliofunga walikuwa wendawazimu wakaendesha zoez la fungafunga tuu? Jiulize mbona cio wote? ,,,,,,Mimi cio Sukuma Gang ila sikuuuona utawala wa Nyerere,sikuwa na ufahamu utawala wa Mwinyi na Mkapa kwan 1995 tuu yenyewe nilikuwa Std four. Ila niliona yale mambo ambayo yalikuwa wazi kwa wananchi awamu ya Nne ya maisha bora! Wengi walitafsiri Maishabora ni ilimrad uwe na Maishabora bila kujali umeyapata kwa njia ya halal ama Harman,kilichotakiwa ni Maishabora tuu. Sasa waliojitafutia Maishabora wakayapata kwa njia za haramu ndio hao wamekuja kunywa maji kwa karai awamu ya tano !RIP JPM🙆 tutakukumbuka wanyonge . Uliwaona mafisad ukiwa waziri , wale wote ambao walijitafutia maisha bora bila kujali haki za wanyonge ukalala nao mbele kwelikweli. Kwkuwa walikuwa na uwezo kifedha ndio hao wenye sauti katika jamii,na ndio Maana uliporudi kwa baba muumba wanakuita majina Mabaya (Si unakumbuka ukiwa hai walikuita Dictator) saivi wanakuita "mwendazake" Jina ambalo nalikasirikia kishenzi.Tangu JPM amefariki inakuaje tunasikia Mabaya tuu Ile hali Mikoan tunapita chochoro zenye lami? Mwenzenu nilipoziona barabara zenye mabaki ya lami nikadhan Wakolon tuu ndio waliweza kujenga.Hayat JPM akanibadilisha mtizamo sasa najua kumbe wabongo tunaweza!!!!!
 
"Tumeamua kuziachia hizi akaunti ili sasa tuwe tunakaa mezani na kujadiliana na wafanyabiashara wenye madeni namna bora ya kulipa taratibu taratibu na tunaachana na ule wa kushikilia akaunti zao,"
Hata IRS kule unyamwezini huwa wanafanya hivyo hivyo. Mtu akiwa anadaiwa anaongea nao wanakubaliana malipo ya kila mwezi.
Lakini ukizingua, IRS wanaweza kukufilisi kabisa na hawaingiliwi na mamlaka yoyote!
Jambo la msingi ni kuwaelimisha wafanyabiashara, ikiwezekana walipa kodi wote, watimize wajibu wao bila kushurutishwa. Watu tupende kulipa kodi halali bila kusimamiwa.
 
Kama alifanya uporaji wote huo kwenye account za wafanyabiashara, na bado mradi wa SGR kipande cha Dar-Moro alishindwa kukimalisha kwa wakati, utakuwa mwendawazimu kudhani alikuwa anaenda mbele. Kimsingi mapato yalikuwa yanazidi kushuka, na sio kupanda kama unavyotaka tuamini.
Saa zingine huwa mnapenda kupinga tu, umeona kuna thread leo raisi katoa billion 370 kama sijakosea kuanza kipande cha Mwanza.

Hivi kwa akili ya kawaida serikali itaanza kujenga kipande kingine, wakati aina hela ya kumalizia kazi iliyoanza?

Kwenye ujenzi hasa miradi mikubwa kuna kitu kinaitwa ‘critical path analysis’ unaweza kuanza hatua zingine wakati zilizopo njiani azijaisha based na mahitaji yake. Pengine hatua za Dar - Moro sasa hivi zinahitaji train za majaribio ambazo hazijafika unataka watu waache kuendelea kazi mpaka hizo train zitakapofika?

Kuna watu mpo programmed kupinga tu.

Isitoshe serikali inatumia cash-budget, na mama keshabadili mtindo wa ukusanyaji kitakacho tokea kuanzia sasa akina uhusiano wowote na Magufuli; lawama zake zinaishia March/2021 na mpaka anachukuliwa kila kitu kilikuwa poa katika miradi aliyoanzisha.
 
Jiwe alikuwa anajenga miradi yote mikubwa kwa pesa za mikopo ya nje huku anawadanganya wanyonge ni pesa zetu za ndani.
Umeongea ukweli kabisa. Matokeo tutayaona muda siyo mrefu. Serikali itakaposhindwa kutekeleza miradi yake. Ndo maana sasa tunaanza kuingizwa kwenye project za corona ili tupate fedha za kuendeshea nchi.
 
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imezifungulia akaunti zote za wafanyabiashara ilizokuwa zimeshikiliwa kutokana na madeni ya kodi

Hayo yamesemwa leo mjini Morogoro na Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma wa (TRA), Richard Kayombo, wakati akitoa mada kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri (TEF).

Kayombo amesema hivi sasa mamlaka hiyo inaingia mikataba ya makubaliano na wafanyabiashara hao wenye madeni ili walipe kwa utaratibu maalum.

Amesema sheria inairuhusuTRA kushikilia akaunti ya mtu yeyote ambaye anadeni la kodi kama njia ya kupata fedha ambazo serikali inadai.

Lakini Kayombo amesema uamuzi wa kushikilia akaunti ya mfanyabiashara huwa ya mwisho kabisa baada ya njia zingine zote kama majadiliano kushindikana.

"Sikawaida kushikilia akaunti ya mfanyabiashara na uamuzi huu mara nyingi unakuwaga wa mwisho kabisa baada ya jitihada zingine kushindikana ikiwemo majadiliano na mhusika," amesema Kayombo

"Tumeamua kuziachia hizi akaunti ili sasa tuwe tunakaa mezani na kujadiliana na wafanyabiashara wenye madeni namna bora ya kulipa taratibu taratibu na tunaachana na ule wa kushikilia akaunti zao," amesema Kayombo

Chanzo: NIPASHE
Baada ya kugundua "dhulma na uadui" dhidi ya wafanyabiashara vimeshindwa kwani baada ya TRA kufanya huo uporaji ndio mapato inaonesha yalishuka na biashara zikafungwa kwa kasi huku benki zikielekea kufilisika baada ya wateja kugundua benki si mahala salama pa fedha zao!!! Nawaza waliokuwa na mikopo kisha wakafungiwa akaunti zao wameishije? Au ndio kuishi kishetani kulikosemwa?
 
Umeongea ukweli kabisa. Matokeo tutayaona muda siyo mrefu. Serikali itakaposhindwa kutekeleza miradi yake. Ndo maana sasa tunaanza kuingizwa kwenye project za corona ili tupate fedha za kuendeshea nchi.
Mara ya mwisho ulitangaziwa lini makusanyo ya matrilioni wakati wa mwendazake? Je kwanini kasi ya ujenzi wa SGR ilishuka ghafla? Je kwanini tulikopa sana? Baada ya mtu mzima kuona "anguko lake la ghafla" baada ya misifa tele "umeme ulikata ghafla"
 
Miradi yote mikubwa inayoiwta ya kimkakati jiwe alikuwa anaijenga kwa pesa za mikopo ya nje. REA ni pesa za ufadhili kutoka EU, Benki ya dunia imetoa mkopo mkubwa wa Trillion kwa ajili elimu wakati wa utawala wa jiwe, Benki ya Africa ilimpa jiwe nusu Trillion kujenga Airport ya Dodoma na pesa nyingine nyingi kwa miiradi ya umeme na barabara, SGR inajengwa kwa mkopo mkubwa kutoka Standard Chartered Bank na mabenki mengine mengi ya nje.

Usisahau kuna pesa za mifuko ya jamii, korosho, bureau de change ambazo zote zilikwapuliwa kupelekwa kwenye hiyo miradi unayoshangilia

Wakati anafanya hayo yote ajira za serikali zilikuwa za manati, madaraja na mishahara ya watumishi imesimama kwa miaka 5.
Acha upumbavu wewe unaongea usichokijua. Yaani JK aliyekua anakusanya bil.750 kwa mwezi ndiye bora kulikonhuyu aliekua anakusanya karibu tril. 2 kwa mwezi. Hebu tukumbushe ni mradi gani wa maana wa kimkakati uliofanywa na JK.
 
Wameona aibu tuu kusema kutokana na madeni ya kodi ilikua waseme kutokana na kuiba na kudhurumu pesa za walipa kodi zilizokua bank...mlikua ni kikosi cha ujambazi kinachotumia mgongo wa sheria kuiba...
 
Saa zingine huwa mnapenda kupinga tu, umeona kuna thread leo raisi katoa billion 370 kama sijakosea kuanza kipande cha Mwanza.

Hivi kwa akili ya kawaida serikali itaanza kujenga kipande kingine, wakati aina hela ya kumalizia kazi iliyoanza?

Kwenye ujenzi hasa miradi mikubwa kuna kitu kinaitwa ‘critical path analysis’ unaweza kuanza hatua zingine wakati zilizopo njiani azijaisha based na mahitaji yake. Pengine hatua za Dar - Moro sasa hivi zinahitaji train za majaribio ambazo hazijafika unataka watu waache kuendelea kazi mpaka hizo train zitakapofika?

Kuna watu mpo programmed kupinga tu.

Isitoshe serikali inatumia cash-budget, na mama keshabadili mtindo wa ukusanyaji kitakacho tokea kuanzia sasa akina uhusiano wowote na Magufuli; lawama zake zinaishia March/2021 na mpaka anachukuliwa kila kitu kilikuwa poa katika miradi aliyoanzisha.
Huo mradi kipande cha Dar-Moro kilikuwa kikamilike Nov 2019, tena ni kwa maelezo yake. Haya maelezo yako mengine ni mbwembwe tu boss.
 
Jiwe alikuwa anaizika hii nchi aisee[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Uongozi siyo mabavu tu ni hekima, mwendazake alitawala, it was his way or the highway..sad!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imezifungulia akaunti zote za wafanyabiashara ilizokuwa zimeshikiliwa kutokana na madeni ya kodi

Hayo yamesemwa leo mjini Morogoro na Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma wa (TRA), Richard Kayombo, wakati akitoa mada kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri (TEF).

Kayombo amesema hivi sasa mamlaka hiyo inaingia mikataba ya makubaliano na wafanyabiashara hao wenye madeni ili walipe kwa utaratibu maalum.

Amesema sheria inairuhusuTRA kushikilia akaunti ya mtu yeyote ambaye anadeni la kodi kama njia ya kupata fedha ambazo serikali inadai.

Lakini Kayombo amesema uamuzi wa kushikilia akaunti ya mfanyabiashara huwa ya mwisho kabisa baada ya njia zingine zote kama majadiliano kushindikana.

"Sikawaida kushikilia akaunti ya mfanyabiashara na uamuzi huu mara nyingi unakuwaga wa mwisho kabisa baada ya jitihada zingine kushindikana ikiwemo majadiliano na mhusika," amesema Kayombo

"Tumeamua kuziachia hizi akaunti ili sasa tuwe tunakaa mezani na kujadiliana na wafanyabiashara wenye madeni namna bora ya kulipa taratibu taratibu na tunaachana na ule wa kushikilia akaunti zao," amesema Kayombo

Chanzo: NIPASHE
Hapo ni kuchukua mpunga na kusepa.

Hii nchi inaongozwa kwa utashi sio kisheria.
 
Lile shetani lingekuepo hadi leo,sijui nchi ingekuwa wapi. Manina zake

Duh….
Sema kuna kitu sikuelewa kwanini ilikua inatumika nguvu kubwa kuaminisha na kuonyesha watu wamesikitika na ni msiba mkubwa sana, yani mpaka kiongozi anatangazia umma viewers wa social media! Sijui nia ilikua nini hata! RIEP ankali Magu!
 
Wale maboya walijua mabaya ya lile lisenge na ndio maana ukiangalia kwa umakini, utagundua Samia anafanya marekebisho makubwa mno. Tegemea katiba mpya within 3 years from now.
 
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imezifungulia akaunti zote za wafanyabiashara ilizokuwa zimeshikiliwa kutokana na madeni ya kodi

Hayo yamesemwa leo mjini Morogoro na Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma wa (TRA), Richard Kayombo, wakati akitoa mada kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri (TEF).

Kayombo amesema hivi sasa mamlaka hiyo inaingia mikataba ya makubaliano na wafanyabiashara hao wenye madeni ili walipe kwa utaratibu maalum.

Amesema sheria inairuhusuTRA kushikilia akaunti ya mtu yeyote ambaye anadeni la kodi kama njia ya kupata fedha ambazo serikali inadai.

Lakini Kayombo amesema uamuzi wa kushikilia akaunti ya mfanyabiashara huwa ya mwisho kabisa baada ya njia zingine zote kama majadiliano kushindikana.

"Sikawaida kushikilia akaunti ya mfanyabiashara na uamuzi huu mara nyingi unakuwaga wa mwisho kabisa baada ya jitihada zingine kushindikana ikiwemo majadiliano na mhusika," amesema Kayombo

"Tumeamua kuziachia hizi akaunti ili sasa tuwe tunakaa mezani na kujadiliana na wafanyabiashara wenye madeni namna bora ya kulipa taratibu taratibu na tunaachana na ule wa kushikilia akaunti zao," amesema Kayombo

Chanzo: NIPASHE
Ndege zetu zilikamatwa kwa kushindwa kuwalipa wadani wetu,

kumbe hata selikari inabmbabe wake
 
Mimi ni mtetezi wa wanyongeeeeee-Shujaa
😂😂😂😂😂
Wewe Ni Akili Kubwa Sana Nimefurahi Mno Kuwa Unajua Serikali Ilivyokuwa Inaendeshwa
TRA Hawalaumiki Ila Yule Bwana 😆😅😄😃😂😁😀

Ameisumbua Nchi Mno
Kuna Watu Wanaanzisha Thread Kuilaumu PCCB Wamesahau Kuwa Mamlaka Ya Rais Ni Makubwa Mno
 
Cha muhimu uhai tu
Kubwa Pumzi Tu
Ila Kuna Mambo Mengi Yanachoma Moyo Yanaacha Midomo Wazi Unashindwa Kuzuia Machozi

Yaani Ccm Imeacha Mlipuko Huu Kama Mlima Nyiragongo Sasa Hivi Watu Wanakimbia.

Aibu Sana Na
Hawa Watu Bado Wapo:
Zabayanga Hafai

Ally Kessy
Juma Nkamia
Jah People
 
Back
Top Bottom