Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
CCM Hawana Amaniutawala wa Awamu ya Tano ulikuwa utawala wa kibabe sana. Ahsante sana Rais wa awamu ya sita Mama Samiah Suluhu Hassan.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM Hawana Amaniutawala wa Awamu ya Tano ulikuwa utawala wa kibabe sana. Ahsante sana Rais wa awamu ya sita Mama Samiah Suluhu Hassan.
Hii Aibu Sana Huyu TRA Siyo Wa Kulaumiwa Isipokuwa Goliati Mwenyewe. Kuna Watu Wengine Wanalaumu PCCB Wakati Wanasahau Mwendazake.Sasa hivi ni muda wa kulipona Taifa baada ya Kayafa kufa kwa Corona.
Mfanyabiashara akiamua kuwa mkeli akilipa ushuru tozo, lesesni , nssf,na Kodi zote,unazozijua Kama:-View attachment 1793042
Huo ndio utaratibu duniani njia za kistaarabu muda wake unapoisha kinachofuata watu wanavamia account yako wanakomba, halafu ndio mnaenda mahakamani kama unadhani umeonewa..
Kuna wanafanya kazi wachache TRA ni shida kwa kutumia sheria vibaya kujinufaisha, ila tatizo kubwa zaidi kwenye kodi Tanzania ni uelewa mdogo wa wafanyabiashara kwenye sheria na taratibu za kodi.
Anyway kwa utaratibu huu wa kubembelezana hakuna miradi itakayo kamilika ontime, something will have to give kati ya debt obligations, government running cost au miradi.
Sio ngumu kuelewa miradi ndio itakayo simamishwa, TANESCO washaanza na usambazaji wa umeme wakati hela za REA ni mkopo sasa sijui shida ipo wapi.
Hawa wabunge wetu na wafanyakazi wenye posho and other ‘benefits in kind’ mfano anaishi nyumba ya serikali, gari la serikali anawekewa mafuta, wanapata mikopo yenye interest nafuu kama sio bure na marupurupu mengine; watu kama hawa nchi za wenzetu wanatakiwa kulipa income tax yote hayo.
Ninauhakika huo utaratibu wahusika wangeujua upoje halafu bunge lipendekeze kuiga huo mfumo; ndani ya bunge kungewaka moto na malalamiko ya unyonyaji.
Swala la kodi Tanzania bado sana, na haya maamuzi ni kurudi nyuma; sio kusonga mbele watu inabidi wazoee utaratibu wa kodi.
Hii itafanya Kodi ziwe rafika zinazolipika kwa hiari na kuondoa udanganyifu, pia itakuza biashara na mitano zaidiMfanyabiashara akiamua kuwa mkeli akilipa ushuru tozo, lesesni , nssf,na Kodi zote,unazozijua Kama:-
1.Income tax
2.Witholding tax
3. Vat
4.payee
5...
6....
Ukijumlisha zote Ni around 75% ya mapato yote ukitoa gharama za uendeshaji
Faida inaweza kuwa 5% sometimes negative(loss)
Huyu mfanyabiashara hawezi kukua kibiashara,
Anaifanyia kazi selikali tu.
Nadhani tutumie wataalamu wa Kodi tukokotoe, Kodi,tozo, lesseni vyote visizidi 30% ya mapato
Good thing mapato ya makampuni yanatumwa tra kila siku
Account zimefungwa makusanyo ya Kodi yataongezeka vipi?Muda utaongea. Kama staili hii ya kukusanya kodi kwa wabongo kwa kubembelezana inatufaa au haitufai, namba zitatuambia. Kama makusanyo ya kodi ya TRA kwa mwezi yatabaki tarakimu hizo hizo au kupanda angalao kidogo, basi utaratibu huu ni mzuri na wa kupongezwa. Kama makusanyo ya kodi kwa mwezi yataporomoka, basi utaratibu huu wa kujadiliana na kubembelezana kwa wabongo hautufai na itabidi utaratibu wa awali urejeshwe. Lakini ninavyowajua wabongo mhhhh, ngoja tusubiri na wala tusije tukasingizia corona!
Hatua nzuri sana wafanyabiashara ni nguzo muhimu kwa uchumi wetu. Mazingira yakiwa frendly wanakuwa motivated zaidi na zaidi.Hapo sawa kabisa
Legacy inaendelea kugaragazwa..
Safi Mama SASHA
Safi sana Mama. Sasa hivi kila mtanzania ni kazi na bata na mapesaaa ya kutosha mtaani mpaka msemo wa laki si pesa milioni ni ya bia mbili tu urudi.
View attachment 1793042
Huo ndio utaratibu duniani njia za kistaarabu muda wake unapoisha kinachofuata watu wanavamia account yako wanakomba, halafu ndio mnaenda mahakamani kama unadhani umeonewa..
Kuna wanafanya kazi wachache TRA ni shida kwa kutumia sheria vibaya kujinufaisha, ila tatizo kubwa zaidi kwenye kodi Tanzania ni uelewa mdogo wa wafanyabiashara kwenye sheria na taratibu za kodi.
Anyway kwa utaratibu huu wa kubembelezana hakuna miradi itakayo kamilika ontime, something will have to give kati ya debt obligations, government running cost au miradi.
Sio ngumu kuelewa miradi ndio itakayo simamishwa, TANESCO washaanza na usambazaji wa umeme wakati hela za REA ni mkopo sasa sijui shida ipo wapi.
Hawa wabunge wetu na wafanyakazi wenye posho and other ‘benefits in kind’ mfano anaishi nyumba ya serikali, gari la serikali anawekewa mafuta, wanapata mikopo yenye interest nafuu kama sio bure na marupurupu mengine; watu kama hawa nchi za wenzetu wanatakiwa kulipa income tax yote hayo.
Ninauhakika huo utaratibu wahusika wangeujua upoje halafu bunge lipendekeze kuiga huo mfumo; ndani ya bunge kungewaka moto na malalamiko ya unyonyaji.
Swala la kodi Tanzania bado sana, na haya maamuzi ni kurudi nyuma; sio kusonga mbele watu inabidi wazoee utaratibu wa kodi.
Msamehe anajaribu kutatua malalamiko ambayo yalikuwa baseless nia yake ni njema, tatizo ni kwamba hayo mambo anayodhani anatatua ndio sababu za kugota kwa maendeleo in the first place.Huyu mama ananiudhi sana Jaman , Sijui huwa anawaza njnj , yanj ananikera hatari
Ngoja nikupe mfano mwepesi ya list ya tozo zilizopo kwenye income tax kama wewe umeajiriwa baadhi ya nchi EU, halafu unakabiashara kako pembeni, una saving accounts, umewekeza kwenye kampuni unapata dividend, unakaa nyumba ya serikali/kampuni, unatumia gari la serikali/kampuni, umefanya vizuri kazini umelipwa bonus.Mfanyabiashara akiamua kuwa mkeli akilipa ushuru tozo, lesesni , nssf,na Kodi zote,unazozijua Kama:-
1.Income tax
2.Witholding tax
3. Vat
4.payee
5...
6....
Ukijumlisha zote Ni around 75% ya mapato yote ukitoa gharama za uendeshaji
Faida inaweza kuwa 5% sometimes negative(loss)
Huyu mfanyabiashara hawezi kukua kibiashara,
Anaifanyia kazi selikali tu.
Nadhani tutumie wataalamu wa Kodi tukokotoe, Kodi,tozo, lesseni vyote visizidi 30% ya mapato
Good thing mapato ya makampuni yanatumwa tra kila siku
Safi kabisa tulibanwa mpaka tukapunguza kuhonga.Wakati wa madanga kurudi kuishi masaki na kuendesha ma range rovers umewadia sasa, kweli mama Ni kama, Piga kelele kwa mama ake... bado nawaza huu msiba mzito nalia kwa style gan , ya kulala, kutembea au kukumbia
Kwa umaskini na makuzi yake aliathirika kisaikolojia kiasi kwamba akawa anachukia kila mtu TAJIRI hata kama siyo muwekezaji.
Ushamba, kukulia maisha ya kutojuwa biological father ambaye alikuwa Mrundi, magonjwa ya moyo, ukichaa ndiyo vilimfanya ajikatae ma kuchukia watu wote wenye fedha zao.
Jifunze kusamehe na kusahau Mkuu, yawezekana hakujua alitendaloShetani Magu alikuwa kiumbe hatari sana. Tuanze kudili na mitoto yake. Mimi naanza na yale mawili yenye vitambi.
Ila walipe madeni yao sababu dawa ya deni ni kulipa,haiingii akilini mtumishi anayelipwa kiduchu akamuliwe lkn mfanyabiashara mkubwa anakwepa Kodi hii haikubaliki.kwa nchi za wenzetu wakwepa Kodi huwa wanapigwa risasi hadharani ili iwe fundisho kwa wengine.Hapo sawa kabisa
Ina maana kwanzoni walikaa kwenye kigoda ndiyo sababu wakazifungia?Hapo sawa jamani, ngoja tukae mezani