Chongeni
Member
- Jun 16, 2020
- 27
- 78
Credibility ya consultant huifaham , tayari unaanza kulaumu? How about ufuatilie record zao kwanza, then from there tujue wana record nzuri au chafuKulikuwa na Haja Gani TRA Kuajiri/Kutumia Consultant Kama Haiwezi Ku-Handle Zoezi La Ajira Yenyewe. Inamaana Huyo Consultant wao ni Mtenda Haki kwa Watanzania Maskini Kuliko Utumishi….!
Pitia Screenshot ya Taarifa yao..
Yes ,ni ulaji kwendaNi mwendo wa kupiga tu hapo!Maana mwanzoni TRA ajira zilikuwa zinatoka Tume ya Ajira baadae wakaomba kusimamia michakato wenyewe sasa hivi Wanawatumia consultant wasimamie mchakato mzima na wanalipa hela ndefu tu hapo ni maswala ya matumizi tu ya hela tutakula wapi
Pdf mpaka sasa bilabila sijui shida nini ? kama mtu akiipata aweke hapa tuangalieAcha kwanza tuone hyo pdf...tatehe 22 inakaribia kuisha. Unasubiria pdf kama unasubiria majibu ya ukimwi...
Na tarehe ya interview washatangaza 29 na 30. Watoe tuanze kusoma.
Kuna mtu namfahamu anafanya kazi kati ya hizo ulizotaja ni kipanga sana unakuta mtihani kesho mwenzenu anasoma novel na analala mapema matokeo yakitoka anaongoza.Inategemea consultant gani
Consultant kama PWC, KPMG, EY mchakato wao wa kuajiri hauna janja janja
Tazama staff wao tu walivyo vipanga
Km GPA wanazingatia.. Ee Mungu tenda muujiza nitoke huku local gvt nilipo mana hakuna anayethamin first classMwaka 2012 niliajiriwa TRA wakati huo nimetoka tu kumaliza chuo 2011, tuliomba kazi hata vyeti na transcript bado tulitumia statement of results.
Kipindi kile walikuwa wanatumia huo mfumo wa Consultants na sisi waliotufanyia usahili ni mzumbe university. Kwa kusema ukweli interview zote zilikuwa fair sana na wenye uwezo tulipata kazi hata kama wapo waliopitishwa kwa vimemo maana mimi na jamaa zangu wengi tuliajiriwa mwaka ule...walichuja GPA nadhani walianzia 3.8
Kwahiyo huo sio mfumo mpya ulikuja kubadilishwa na Hayati Magufuli alipoihamishia TRA utumishi na kuna mambo mengi yalibadilika ila sasa hivi yanarejea kama mwanzo
Mambo yanadilika huenda wakazingatia ama wakachukua atayefanya vizuri tuKm GPA wanazingatia.. Ee Mungu tenda muujiza nitoke huku local gvt nilipo mana hakuna anayethamin first class
Mambo yanadilika huenda wakazingatia ama wakachukua atayefanya vizuri tu
Ishatoka mkuuPdf mpaka sasa bilabila sijui shida nini ? kama mtu akiipata aweke hapa tuangalie
Nimepost hapo. Post #17Ishatoka mkuu
GPA sio Kigezo kikubwa na cha Haki, kutokana watu kusoma Vyuo tofauti na Hata aina ya mitihani yake huwa tofauti.Km GPA wanazingatia.. Ee Mungu tenda muujiza nitoke huku local gvt nilipo mana hakuna anayethamin first class